johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Muigizaji mashuhuri na mwimbaji wa nyimbo za injili Emanuel au Masanja kama anavyojulikana na wengi anataraji kugombea ubunge jimboni mbarali. Ameyasema hayo baada ya kumwimbia Mungu ktk mkutano mkubwa wa injili unaoendelea viwanja vya jangwani leo hii.