Masanja Mkandamizaji amzidi Utajiri Diamond Platnumz


Kaka rudi home kama maisha tait pande hizo....post yako inatafsiri kila kitu.
 

Subiri le mutuz aje kukujibu. umemtukana sana
 
Kaka rudi home kama maisha tait pande hizo....post yako inatafsiri kila kitu.
nirudi bongo kufanya nini kwasasa. Niliteseka sana bongo. Nilishinda njaa mara nyingi. Nilidharauliwa kibaruani. Nilifight sana. Nilimuibia ndugu yangu hela nyingi kuja ulaya. Alilaani sana ila sasa ananimwagia baraka. Wabongo wenzang ambao ni wavivu kupindukia hapa wananiita landrover. Eeh bwana napiga mzigo c mchezo. Huko mzigon naheshimiwa sana. Nina miaka mi5 hapa Denmark. Kwenye account Amin uciamini ki2 284,000 krone kimetulia ma'am maee. Nilikuwa napata laki moja kwa mwezi bongo. Nå ss iv nakuingizia kama laki 5 madaf kwa cku hupo håpo cheseya Denmark wewe. Halaf unasema nirud bongo et håpa tighty. Thubutu. Bongo narudi kusalimu Tusind. Nyumban ni Nyumban. Ila nilikuw a fukara sana halaf KJ anatutukana. I really hate him
 

sawa kaka nimekusoma...tafuta hela
 
Kamzidi Mali? Utajiri? Mali kila mtu anazo hata TV au nyumba ni Mali, but Utajiri ni off-the-hook.. Ni kumiliki mamilioni ktk cash and investments!! Hawa wamezidiana Mali hakuna mwenye billion hata 10 hapo..
 
Pale kwenye maombezi watu wengine ndio hivyo wanaenda kumuona masanja live as wamezoea kumuona kwenye kideo tu.

Comedy pekee ingekuwa inalipa hata kina joti wangekua washafanya investment

Hapo dada umeongea. Alipokuja pale Moro kama mualikwa wa harambee ya kuchangia Top TV (japo cjui hawa jamaa wameishia wapi) Masanja alibeba kapu huku akisindikizwa na wimbo wake, watu waling'ang'ania kwenda kuchangia kwa Masanja ili wamguse au wamuone kwa ukaribu tu! Yaan alipohamia tu kwenye uchungaji, ikitangazwa tu jamaa anahudumu siku hiyo utakuta watu wamejaaaa! Sasa as more people attend, more sadaka! Kweli huu nao ni ujasiriamali.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 

Mufti Lion, piga kazi ndg yng, waweza kuta anayeizarau kazi yako hata buku kwa siku haingizi. Kazi ni kazi ilimradi mkono uingie kinywani. Dharau sio dili as akudharauye hata kama ni Meneja kazi yake haikusaidii. Ni limbukeni tu atakayedharau kazi ya halali ya mwenzie.
Mf mie nawaheshimu sana waokota makopo. Wale wanaowadharau sijawi kuona hata mara moja wakitoa ata jero kuwapatia!!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Hata usimchukie, ndipo akili yake ilivyomtuma. Kila mbuzi hula urefu wa kamba yake.


Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Kamzidi Mali? Utajiri? Mali kila mtu anazo hata TV au nyumba ni Mali, but Utajiri ni off-the-hook.. Ni kumiliki mamilioni ktk cash and investments!! Hawa wamezidiana Mali hakuna mwenye billion hata 10 hapo..

Wasanii wetu wa Bongo fleva wengi huishia kuwekeza ktk starehe. Jamaa kamzidi ndio in the contexts u explained.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 

Komaa huko huko mie nna ndugu yangu siku hizi yuko marekani amemaliza chuo tulimaliza wote ye akasepa zake kwenda kubeba boksi three years zimepita ndio karudi majuzi ana mkwanja wa maana tu sie katuacha mbali tunakomaa na bongo darisalama jiji lazidi kuwa gumu...

kabadilika kichizi tumebakia kuwa wa kuletewa zawadi
 

Tangu rafiki zangu niliokuwa nawaacha mbali kitaaluma tangu shule ya mtaro nikute wako juu sana zaidi yng cwez dharau kazi ya mtu ilimradi iwe ya harali! Big up wabeba mabox Ulaya. Komaeni, Bongo wengi huku michosho tuu!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Kwaio kulala masaa mawili kwa siku ili uweze kupata hizo hela unazojidanganya nazo ndo kuna kufanya uanze kujisifia? huko ulaya hamna kitu si ajabu na miaka yako 25 umezeeka kwa kupigwa na baridi unaonekana ni mzee kuliko umri wako kwa mtu ambae hajawahi kufika ulaya au hajawahi waona watu wanavyotaabika huko ulaya hawezi elewa kazi za kishenzi tu hamna issue nashukuru Mungu mzee wangu alituwezesha kupata exposure za huko ulaya yani ni hamna kitu na kinacho wakwamisha kurudi huku wabongo wengi ni aibu wako nyuma sana kimaendeleo ukicompare na hao waliowaacha watu huku bongo...Over..!!
 

Nipe dili msela na mie nikamate mahela...
 
inategemea a circumstance ya mtu.wengine background yao ya kimaisha bongo sio mbaya,akienda ulaya anaona bora maisha ya bongo.kuna jamaa mmoja alikuwa anauza supu sokoni,amekuja ulaya anabeba boksi,amejenga nyumba zaidi ya moja bongo,kwake yeye anasema angeishi bongo asingekuwa na huo uwezo,kwa sasa ameshaoa maisha yake yako poa na bado yupo nje
 

Well said
 

Lyamber wewe mtoto wa kishua hata usipoamka siku nzima bado uhakika wa kula na kupewa hela ya matumizi unao. Mtoto laini kama wewe kazi ngumu huwezi. Lakini ikitokea mtu aliekwisha kuonja maisha ya taabu hapo tanzania akapata bahati ya kufanya kazi ulaya wala suala la baridi halimsumbui. Kwanza huendi kazini uchi kuna nguo maharumu kwa ajili ya baridi ushindwe wewe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…