Here you go.....ukisema hapa utaambiwa una wivu cjui nini!... Masanja ana FUBA mpaka anajiogopaa mwenyewe![emoji15] [emoji15]Mmmh moyo unagoma kuamini asee uchungaji unalipa kiasi hiki? Maana toka alivoajiingiza huko ndo akaibuka
Mkuu acha kushadadia mambo mengine yapo wazi tu hakuna utajiri ndan ya miaka 3 cjui 2 umiliki ndege, mgodi,magorof,mashamba .. Kuna namnaNi watu ambao hawana akili pekee watabeza juhudi za Masanja....
Wakati mnapiga kelele mjini yeye yuko porini analima mpunga
wakati mnashinda vijiweni yuko polini anatafuta dhahabu
Wakati mnakula KFC yeye yuko busy anauza wali nyama na sahivi kafungua Burger points
Mwisho wa siku mnapiga kelele sijui unga sijui nini. Acheni wivu fanyeni kazi
Hahaaa nimuonee wivu MTU ambae hata simjui ila kwenye ukweli unasemwa[emoji57] [emoji57] [emoji57] Kama sio ngada hizi sijuiHere you go.....ukisema hapa utaambiwa una wivu cjui nini!... Masanja ana FUBA mpaka anajiogopaa mwenyewe![emoji15] [emoji15]
Haaa haaa tulikuwa tunacirculate dear....mulemuleHahaaa nimuonee wivu MTU ambae hata simjui ila kwenye ukweli unasemwa[emoji57] [emoji57] [emoji57] Kama sio ngada hizi sijui
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haaa haaa tulikuwa tunacirculate dear....mulemule
mwenyewe nmebaki mdomo wazi[emoji15] [emoji15] [emoji15] hadi ndege
Mmmmh ngoja ni [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]mwenyewe nmebaki mdomo wazi
We acha tu siku tunaoneshwa helicopter sijui inazungukia mashamba yake ya mchele huko mbeya, nilitumbua mimacho ikataka kudondoka..mwenyewe nmebaki mdomo wazi
Angekuwa Mangi ungemtetea tuwe nae kama wadada wa kona sinza mwepesi kuamini vitu bila kushirikisha kichwa, hata ukiambiwa masanja ana miliki tilioni 5 utaamini tu kwa kichwa panzi chako
Unajua kwa nini? Kwa sababu una Akili nyingi!Sijawahi kuamini na sintoamini
Masanja mkandamizaji ametembealea mgodi wake wa dhahbu na kuonyesha zoezi zima la uchimbaji dhahabu linavyofanyika
Sasa kuponda wanaokula KFC wakati yeye anauza wali au anafungua burger points je watakao kwenda kwenye burger points zake ni wajinga au?Ni watu ambao hawana akili pekee watabeza juhudi za Masanja....
Wakati mnapiga kelele mjini yeye yuko porini analima mpunga
wakati mnashinda vijiweni yuko polini anatafuta dhahabu
Wakati mnakula KFC yeye yuko busy anauza wali nyama na sahivi kafungua Burger points
Mwisho wa siku mnapiga kelele sijui unga sijui nini. Acheni wivu fanyeni kazi
Heri yake yeye mwenye mitaji na jina sisi tunalima heka moja au nusu heka mkuranga na kwingineko hatutoboi miaka nenda Rudi.Ni watu ambao hawana akili pekee watabeza juhudi za Masanja....
Wakati mnapiga kelele mjini yeye yuko porini analima mpunga
wakati mnashinda vijiweni yuko polini anatafuta dhahabu
Wakati mnakula KFC yeye yuko busy anauza wali nyama na sahivi kafungua Burger points
Mwisho wa siku mnapiga kelele sijui unga sijui nini. Acheni wivu fanyeni kazi
Anaudhalilisha au anaupandisha, ili watu waamini kwamba unalipa na wengine wamfanye Kama role model[emoji23] [emoji23] [emoji23]Anadhalilisha uchungaji tu huyo jamaa
Acheni jamani uongo ndege gani huyo wa porini masanja anaemiliki?Hukuiona shost?...mdege wa maana