Masanja mkandamizaji atembelea mgodi wake wa dhahabu

Mmmh moyo unagoma kuamini asee uchungaji unalipa kiasi hiki? Maana toka alivoajiingiza huko ndo akaibuka
Here you go.....ukisema hapa utaambiwa una wivu cjui nini!... Masanja ana FUBA mpaka anajiogopaa mwenyewe![emoji15] [emoji15]
 
Ni watu ambao hawana akili pekee watabeza juhudi za Masanja....

Wakati mnapiga kelele mjini yeye yuko porini analima mpunga

wakati mnashinda vijiweni yuko polini anatafuta dhahabu

Wakati mnakula KFC yeye yuko busy anauza wali nyama na sahivi kafungua Burger points

Mwisho wa siku mnapiga kelele sijui unga sijui nini. Acheni wivu fanyeni kazi
Mkuu acha kushadadia mambo mengine yapo wazi tu hakuna utajiri ndan ya miaka 3 cjui 2 umiliki ndege, mgodi,magorof,mashamba .. Kuna namna
 
Here you go.....ukisema hapa utaambiwa una wivu cjui nini!... Masanja ana FUBA mpaka anajiogopaa mwenyewe![emoji15] [emoji15]
Hahaaa nimuonee wivu MTU ambae hata simjui ila kwenye ukweli unasemwa[emoji57] [emoji57] [emoji57] Kama sio ngada hizi sijui
 
Ni watu ambao hawana akili pekee watabeza juhudi za Masanja....

Wakati mnapiga kelele mjini yeye yuko porini analima mpunga

wakati mnashinda vijiweni yuko polini anatafuta dhahabu

Wakati mnakula KFC yeye yuko busy anauza wali nyama na sahivi kafungua Burger points

Mwisho wa siku mnapiga kelele sijui unga sijui nini. Acheni wivu fanyeni kazi
Sasa kuponda wanaokula KFC wakati yeye anauza wali au anafungua burger points je watakao kwenda kwenye burger points zake ni wajinga au?
 
Ni watu ambao hawana akili pekee watabeza juhudi za Masanja....

Wakati mnapiga kelele mjini yeye yuko porini analima mpunga

wakati mnashinda vijiweni yuko polini anatafuta dhahabu

Wakati mnakula KFC yeye yuko busy anauza wali nyama na sahivi kafungua Burger points

Mwisho wa siku mnapiga kelele sijui unga sijui nini. Acheni wivu fanyeni kazi
Heri yake yeye mwenye mitaji na jina sisi tunalima heka moja au nusu heka mkuranga na kwingineko hatutoboi miaka nenda Rudi.

Hatukopesheki,sokoni tunalaliwa,Kila leo bei ya pembejeo inapanda,bei ya usafiri utakimbia.

Siku hizi vijana wanajitahidi kujikita kwenye "vilimo" Sema changamoto ni hizo tajwa juu.Masanja msalimie shemejiii.
 
Back
Top Bottom