Masanja Mkandamizaji: Nimezaliwa kijijini huko porini lakini nawakalisha waliozaliwa mbele

Nyie Makenge msione nilivyosema hayo maneno mkanichukulia Poa,hivo vigari na vipagale ninavyo vya kutosha,Huyo boya kanizidi umaarufu tu,nimeleta hapa kwa kitendo chake cha kudharau ambao hawana Kitu kisa yeye kumiliki matoyo na mapagale.

..oya'e punguza ukali babu!
 
Acha ujinga, mungu hawezi kukupa majumba, magari na mashamba. Fanya kazi jitume tafuta mbinu tofauti za kuingiza hela. Hayo mambo ya kusema mungu kampa ni ufala na akili za kimasikini

kaaa haya maneno uliyoyaandika yanaendana na jina lako kabisa.
 
Nyie Makenge msione nilivyosema hayo maneno mkanichukulia Poa,hivo vigari na vipagale ninavyo vya kutosha,Huyo boya kanizidi umaarufu tu,nimeleta hapa kwa kitendo chake cha kudharau ambao hawana Kitu kisa yeye kumiliki matoyo na mapagale.

We huna gari wala baiskeli na kama una nyumba basi ya nyasi uliyoacha kijijini kwenu.
 
kaaa haya maneno uliyoyaandika yanaendana na jina lako kabisa.

Ndio maana yake,kuna mjomba mmoja nae siku hiyo ananiambia hivyo hivyo wewe tumekaa wote kijiweni hapa mwenzetu mungu kakupa bahati sisi tuko hapa hapa. Nikamuona akili zake mbovu tu. Yaani hakuniona ninavyochakarika? We ukae tu unakula fegi kisa unaamini mungu? Akili za kifala hizo
 
Fanyeni kazi vijana vinginevyo masanja & diamond wataendelea kuwa vinara kwa juhudi wanazofanya.
 
Sasa anataka watu wote walime? si akakae huko kijijini kwao kila mtu anakimbilia mjini kijijini kwao atajenga nani?
 
Sasa anataka watu wote walime? si akakae huko kijijini kwao kila mtu anakimbilia mjini kijijini kwao atajenga nani?

Ndo maana kawaambia yeye analima na akirudi mjini anawakalisha kama kawa mwanawane nyie andeleeni kupaka super black mjini
 
Huyu jamaa nilitokea kumkubali sana enzi za Ze Comedy kupitia EATV 2007/8.
Lakini kwa siku za hivi karibuni kanitoka kabisa kwa hayo majigambo yake.
Nikwambie kitu wewe una tatizo kubwa sana. Ukishaona kila anaefanikiwa unamchukia ujue una tatizo, na una tatizo la kupenda kujiweka fungu la kukosa. Angalia tu isikuathiri ata kwenye maisha yako ya kila siku.
 
Chuki za wazi kabiisa.... kafanya kazi kwa shida halafu unataka kumpangia maneno ya kutamka...
 
Huyu jamaa nilitokea kumkubali sana enzi za Ze Comedy kupitia EATV 2007/8.
Lakini kwa siku za hivi karibuni kanitoka kabisa kwa hayo majigambo yake.

Duh we mama Una roho ya kichawi si mchezo. Yaani wewe unawachukia watu wote wenye mafanikio. Ulimpenda Masanja enzo zile alivyokuwa majalala siku hizi mambo safi kakutoka kabisa duh we mama wewe
 
Bishaneniiiiii lakini prezidaa kashasema kila jumamos USAFI sasa bisheni na hapo tutakuwa tunawaletea protex na ndala kule segedansi.
 
hivi wewe savimbi jr ni mtoto wa hayati Jonas ama?
tuanzie hapo labda,afu mengine yatafuata baadae...
 
Nyie Makenge msione nilivyosema hayo maneno mkanichukulia Poa,hivo vigari na vipagale ninavyo vya kutosha,Huyo boya kanizidi umaarufu tu,nimeleta hapa kwa kitendo chake cha kudharau ambao hawana Kitu kisa yeye kumiliki matoyo na mapagale.

Mmmmmmm! Weka picha tuone
 
Kuna mda wajinga wanaishusha hadhi jf lkn wanashindwa alichomanisha tofauti Na unachokisema ww
 
Bado akiongea rafudhi yake kama ndio kafika leo mjini..wakijijini wa kijijini tu..utauficha ushamba kwa mavazi na magari lkn ukiongea wajanja tutakujua tu UMEKUJA!.

Na wewe ni GT? Kuwe na entry exam kujiunga JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…