Masanja Mkandamizaji: Nimezaliwa kijijini huko porini lakini nawakalisha waliozaliwa mbele

Alichokisema masanja kina akisi uhalisia wa maisha ya vijana wengi ambao wanajiita wazaliwa wa mijini ingawa ujumbe wake ameuleta katika njia ya kejeli.......kiukweli hata ukikaa katika maskani huwezi kusikia mawazo mbadala au mbinu za kujikwamua kimaisha zaidi kukutajia kila aina ya dawa zinazoongeza nguvu za kiume na gest na baa maarufu hapa mjini......ni vijana ambao hawajui kuwa siku zinakwenda na miaka inabadilika.....wao wanadhani kuwa wataendelea kuwa vijana milele na milele......na wataendelea kuishi kwenye vibanda vya baba zao wao pamoja na wajukuu zao.........ni akili za watu waliofeli maisha.......MUNGU AWAREHEMU WAPATE KUJUA KUWA TUNAISHI KATIKA NYAKATI NGUMU AMBAZO MWANAUME ANATAKIWA ALE KWA JASHO....TENA JASHO LA DAMU,......
 
Savimbi Jr kwa utafiti wangu utakua ni mmoja kati ya wale jamaa watatu...mada nyingi za huyu jamaa hukosekani...i stand to be corrected!
 
Last edited by a moderator:
Huyu nae ni GT . Unachukua maneno kama yalivyo, hata hujiongezi ki maana. useless.
 
Kuna mda wajinga wanaishusha hadhi jf lkn wanashindwa alichomanisha tofauti Na unachokisema ww

Huyu nae ni GT . Unachukua maneno kama yalivyo, hata hujiongezi ki maana. useless.

Msome KikulachoChako paragraph ya kwanza,inawezekana alikuwa na ujumbe Mzuri lakini ameuleta kikejeri..

✅S.H. Amon unajua kazaliwa wapi? Mbona sijawahi kumsikia akileta kashfa Kama za Masanja? Hivi kukosa Mengi kugombana na Manji hawa jamaa wangetoka? Wamshukuru Manji kuwanunulia magari na kuwanunulia viwanja.
 
Last edited by a moderator:
Nyie Makenge msione nilivyosema hayo maneno mkanichukulia Poa,hivo vigari na vipagale ninavyo vya kutosha,Huyo boya kanizidi umaarufu tu,nimeleta hapa kwa kitendo chake cha kudharau ambao hawana Kitu kisa yeye kumiliki matoyo na mapagale.

...chok.o tu wewe!..unalala mnduku juu unadhani utamnyea alie juu?
...wewe hukalishwi,UNAPAKATWA kabisa!
 
Hivi mnajua kwamba UJANJA bila MKWANJA ni UJINGA?
 
Mh Magufuri tumbua huyo muuza ngada....bishaaa
 
Bado akiongea rafudhi yake kama ndio kafika leo mjini..wakijijini wa kijijini tu..utauficha ushamba kwa mavazi na magari lkn ukiongea wajanja tutakujua tu UMEKUJA!.

Mara nyingine ushamba na ujanja binafsi huwa nahisi ni inborn characters sijui wewe unaudefine vipi ujanja wako kama huyo unayemuita mshamba ana vile ambavyo wewe hauna na kavivuna hapo hapo ujanjani kwako.
 
Halafu mkishajua....??

Wakishajua wanaridhika,stupid creatures.

Tunazaliwa mjini na kupata exposure haraka lakini hatutumii hiyo fursa,wengine wanazaliwa kijijini wanakuja mjini na kupata exposure haraka na kuitumia kisha wanatuacha kimaendeleo sie tunabaki tunajivunia rafudhi na mara oh nimezaliwa Ocean Road,Bughando,Meta,KCMC nk so what!
 
Nikwambie kitu wewe una tatizo kubwa sana. Ukishaona kila anaefanikiwa unamchukia ujue una tatizo, na una tatizo la kupenda kujiweka fungu la kukosa. Angalia tu isikuathiri ata kwenye maisha yako ya kila siku.

Hahahhh matumbo nlikumiss
 

Shusha jiweee jingine mkuu hili haliwatosh hawa wavivu wa akili na kazi, I realy pity thm
 
Mara nyingine ushamba na ujanja binafsi huwa nahisi ni inborn characters sijui wewe unaudefine vipi ujanja wako kama huyo unayemuita mshamba ana vile ambavyo wewe hauna na kavivuna hapo hapo ujanjani kwako.

Hihiiiii asante mkuu
 

Hahahahhhh ukweli ktk ubora wakee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…