sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Mchungaji cum presenterView attachment 2602064
Tunajua bado mgeni kwenye kazi hivyo unatafuta kwa nguvu nyingi kuonekana umeziba pengo la waliokimbia EFM.
Nakushauri relax usitumie nguvu nyingi maana umekuwa kama unafanya vurugu.
Swaga zako za mwanawane sijui kukandamiza simeshakifu watu ulishindwa kuzirejesha na ze comedy yenu haitakuwa rahisi kuzirudisha kwenye radio.
Nakushauri jitafute taratibu hatimaye utaeleweka. Unataka kushindana na watu wenye talent kubwa ya hayo mambo inahitaji muda Mchungaji.
😁😁😁😁😁😁Huyu si ndiye aliyechapiwa mke?
Chuki iko wapi hapo? Mie nimetoa ushauri kama haumfai ataachana nao. Ana overdo thingsAcheni chuki na umasikini wa akili, huu ujinga wa kizamani sana he is making money and you are collapsing with stupidity.
View attachment 2602064
Tunajua bado mgeni kwenye kazi hivyo unatafuta kwa nguvu nyingi kuonekana umeziba pengo la waliokimbia EFM.
Nakushauri relax usitumie nguvu nyingi maana umekuwa kama unafanya vurugu.
Swaga zako za mwanawane sijui kukandamiza simeshakifu watu ulishindwa kuzirejesha na ze comedy yenu haitakuwa rahisi kuzirudisha kwenye radio.
Nakushauri jitafute taratibu hatimaye utaeleweka. Unataka kushindana na watu wenye talent kubwa ya hayo mambo inahitaji muda Mchungaji.
Ulitaka kumaanishaje hapa?Kina maulid kitenge ni watu wa huko mbele wakishakupata kwa undani wanatimkia kwingine.
Safi nadhani uwasilishaji hukuweka umahususi wa kuoverdo, kama tabia ya kujifanyisha kike au exaggerations anaamini ndicho upekee wake huoChuki iko wapi hapo? Mie nimetoa ushauri kama haumfai ataachana nao. Ana overdo things
Halafu Masanja anajaza waumini kanisani kwake ati.View attachment 2602064
Tunajua bado mgeni kwenye kazi hivyo unatafuta kwa nguvu nyingi kuonekana umeziba pengo la waliokimbia EFM.
Nakushauri relax usitumie nguvu nyingi maana umekuwa kama unafanya vurugu.
Swaga zako za mwanawane sijui kukandamiza simeshakifu watu ulishindwa kuzirejesha na ze comedy yenu haitakuwa rahisi kuzirudisha kwenye radio.
Nakushauri jitafute taratibu hatimaye utaeleweka. Unataka kushindana na watu wenye talent kubwa ya hayo mambo inahitaji muda Mchungaji.
Masanja kasomea aundishi. Ana diploma ya DSJ.Huo uandishi kasomea lini au ndo ile ya kazi yoyote.
Kina maulid kitenge ni watu wa huko mbele wakishakupata kwa undani wanatimkia kwingine.
Ndo huyo huyo, afu pia kuna mwingine anajiita Nikki wa Pili na yeye mbususu ya mkewe ililiwa na wahuni😅, walipiga collabo mpaka ikafuka moshiHuyu si ndiye aliyechapiwa mke?
Kuchapiwa ni kawaida mkuu na wala sio kosa la mchapiwaji bali la mchapwaji.Huyu si ndiye aliyechapiwa mke?