Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akasamehe na kujinyenyekeza maana kisasi sio chake.Huyu si ndiye aliyechapiwa mke?
Ina maana wewe ndio unajua kuliko Majizo aliyempa nafasi? Acha makasiriko Kijana kama anakukera badirisha station ya radio tu
Tunajua bado mgeni kwenye kazi hivyo unatafuta kwa nguvu nyingi kuonekana umeziba pengo la waliokimbia EFM.
Nakushauri relax usitumie nguvu nyingi maana umekuwa kama unafanya vurugu.
Swaga zako za mwanawane sijui kukandamiza simeshakifu watu ulishindwa kuzirejesha na ze comedy yenu haitakuwa rahisi kuzirudisha kwenye radio.
Nakushauri jitafute taratibu hatimaye utaeleweka. Unataka kushindana na watu wenye talent kubwa ya hayo mambo inahitaji muda Mchungaji.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndo huyo huyo, afu pia kuna mwingine anajiita Nikki wa Pili na yeye mbususu ya mkewe ililiwa na wahuni[emoji28], walipiga collabo mpaka ikafuka moshi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ushauri una mpa nani nawe unajulikana kuwa unakazwa na Mondi???
Nimetoa ushauri na lazima auchukue akiuacha imekula kwakeIna maana wewe ndio unajua kuliko Majizo aliyempa nafasi? Acha makasiriko Kijana kama anakukera badirisha station ya radio tu
Duh...Huyu si ndiye aliyechapiwa mke?
Wewe!!...Ndo huyo huyo, afu pia kuna mwingine anajiita Nikki wa Pili na yeye mbususu ya mkewe ililiwa na wahuni😅, walipiga collabo mpaka ikafuka moshi
Kwanini usisikilize TBC,Kitenge ni brand kubwa kwenye hizo ishu za uvhambuzi wa magazeti.
Masanja hawezi shindwa anachotakiwa ni kutulia na kufanya bila panic, kwa sasa anatumia nguvu nyingi bila sababu yoyote ya msingi.
Sasa masanja Yuko jf? Si umfate dm insta hukoChuki iko wapi hapo? Mie nimetoa ushauri kama haumfai ataachana nao. Ana overdo things
Wapo wengi sanaYaani watu wasio na taalum ya uandishi na utangazji wa habari wamejaa kwenye media
Unaongelea vitu gani mbona kama upo nje ya topic, au wewe ni kilaza?Kwanini usisikilize TBC,
Kuna radio nyingi siku hizi,kwanini wakukere...
Je utangazaji wa kitenge unafurahishwa nao?mbona una mbwembwe na masifa mengi,talent iko wapi hapo?
Ndio mimi ni kilaza,Unaongelea vitu gani mbona kama upo nje ya topic, au wewe ni kilaza?
Mwambie mtoa Mada apunguze makasiriko..Mtoa mada amepata Sonona yeye pamoja na Boss wake kwa ufupi ni kwamba Masanja amewafunika wote Hando pamoja na kitenge yani pengo Lao limezibwa na mtu mmoja permanent..
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app