Masanja Mkandamizaji Relax. Acha kupanic

Tunajua bado mgeni kwenye kazi hivyo unatafuta kwa nguvu nyingi kuonekana umeziba pengo la waliokimbia EFM.

Nakushauri relax usitumie nguvu nyingi maana umekuwa kama unafanya vurugu.

Swaga zako za mwanawane sijui kukandamiza simeshakifu watu ulishindwa kuzirejesha na ze comedy yenu haitakuwa rahisi kuzirudisha kwenye radio.

Nakushauri jitafute taratibu hatimaye utaeleweka. Unataka kushindana na watu wenye talent kubwa ya hayo mambo inahitaji muda Mchungaji.
Ina maana wewe ndio unajua kuliko Majizo aliyempa nafasi? Acha makasiriko Kijana kama anakukera badirisha station ya radio tu
 
WCB wanavurugwaaa hadi hawajielewiii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ina maana wewe ndio unajua kuliko Majizo aliyempa nafasi? Acha makasiriko Kijana kama anakukera badirisha station ya radio tu
Nimetoa ushauri na lazima auchukue akiuacha imekula kwake
 
Kitenge ni brand kubwa kwenye hizo ishu za uvhambuzi wa magazeti.

Masanja hawezi shindwa anachotakiwa ni kutulia na kufanya bila panic, kwa sasa anatumia nguvu nyingi bila sababu yoyote ya msingi.
Kwanini usisikilize TBC,
Kuna radio nyingi siku hizi,kwanini wakukere...
Je utangazaji wa kitenge unafurahishwa nao?mbona una mbwembwe na masifa mengi,talent iko wapi hapo?
 
Mtoa mada amepata Sonona yeye pamoja na Boss wake kwa ufupi ni kwamba Masanja amewafunika wote Hando pamoja na kitenge yani pengo Lao limezibwa na mtu mmoja permanent..

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Unaongelea vitu gani mbona kama upo nje ya topic, au wewe ni kilaza?
 
Waandishi wenu wote hamna kitu
Kupiga kelele,umbea tu
Huyo masanja kitenge wale wale tu

Ova
 
Mtoa mada amepata Sonona yeye pamoja na Boss wake kwa ufupi ni kwamba Masanja amewafunika wote Hando pamoja na kitenge yani pengo Lao limezibwa na mtu mmoja permanent..

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Mwambie mtoa Mada apunguze makasiriko..
Masanja kaziba pengo mpaka mwanya...masanja mmoja kaziba pengo la watu wanne.
Mwambie abadilishe channel, hapendezwi na bado anaendelea kumsikiliza.
 
Tunajua bado mgeni kwenye kazi hivyo unatafuta kwa nguvu nyingi kuonekana umeziba pengo la waliokimbia EFM.

Nakushauri relax usitumie nguvu nyingi maana umekuwa kama unafanya vurugu.

Swaga zako za mwanawane sijui kukandamiza simeshakifu watu ulishindwa kuzirejesha na ze comedy yenu haitakuwa rahisi kuzirudisha kwenye radio.

Nakushauri jitafute taratibu hatimaye utaeleweka. Unataka kushindana na watu wenye talent kubwa ya hayo mambo inahitaji muda Mchungaji.

Masanja angebaki Kwenye uchungaji
 
Back
Top Bottom