Tetesi: Masanja na mpoki wapatana rasmi

Tetesi: Masanja na mpoki wapatana rasmi

Huwezi share kipaji ,huwezi share maono,kama sio yako kuyaendeleza ni kazi
 
Inadaiwa masuala ya kupigana kifedha masanja alionekana anakamatia dili kubwa na kuwazidi mbali wenzie hivyo waongo wakapenya kuwaaminisha wengine anawapiga wenzie ila yameisha kabisa
Masanja amewatumia vizuri mpoki na joti kujinufaisha

he was once a nobody ....but now amewapiga gap ...
 
Masanja amewatumia vizuri mpoki na joti kujinufaisha

he was once a nobody ....but now amewapiga gap ...
Yap jamaa ni mjanjamjanja fulani hivi, aliwazidi wenzake akili wamestuka jamaa kashafika mbali
 
Back
Top Bottom