ni mali yake sema mtu ambayehajionyeshi kama masanja mambo mengi unaweza kustaajabu!!!
Hii ya kukanyaga nafaka ni kawaida?
Au hicho sio chakula?
Hii ya kukanyaga nafaka ni kawaida?
Au hicho sio chakula?
kwani hapo ni sanaa au kilimo?
Duh!Jamaa anatisha aisee!
Usanii umemwezesha
Hii ya kukanyaga nafaka ni kawaida?
Au hicho sio chakula?
Ameweza kujenga
...pia ameanzisha kampuni ya ulinzi inaitwa O.K Security ,na amesha recruit vijana kibao wapo kazini, na kila siku yuko vijijini kuhubiri mikutano ya injili. dogo kajipanga vizuri...
..ile show yao imewaingizia hela nzuri sanaaa hasa mialiko ya nje ya makampuni na matangazo. yule mwenzao wakuvanga nadhani kanunua nyumba mikocheni nyuma ya kairuki hospital (tetesi bei aliyonunulia ni 100m), wako vizuri ila matumizi wanatofautiana sana...Sasa naanza kupata wasiwasi zaidi...yaani wasanii wote watakuwa hawana malengo
..ile show yao imewaingizia hela nzuri sanaaa hasa mialiko ya nje ya makampuni na matangazo. yule mwenzao wakuvanga nadhani kanunua nyumba mikocheni nyuma ya kairuki hospital (tetesi bei aliyonunulia ni 100m), wako vizuri ila matumizi wanatofautiana sana...
King Kong III unataka uanze wakati umesema ni hatari au!!!
ubaya wa ccm ni wezi na wanateteana!
Du aisee ni hatari ngoja namie nianze usanii kumbe inalipa.
Hii ya kukanyaga nafaka ni kawaida?
Au hicho sio chakula?