Masanja: Nimevuna mpunga ekari 15 Mbarali Estate - Mbeya

Acha kukurupuka pimbi wee fuatilia comments za mwanzo uone negativity iko wapi wakati na muencourage afanye zaidi? Hamna mahali nilipomkejeli kwanza nimempongeza kwa kulima hizo 15 my point is naamini anaweza fanya zaidi ya hizo 15 na kufanya zaidi ya 100 sasa hapo negativity iko wapi? Hizi Zero za siku hizi bwana kazi kweli kweli
correction... mie nina zero za miaka ya themanini...

Hebu tuambie na wewe umelima ngapi, au umewekeza wapi?? maana naona unakomalia ya kijana anayejaribu ku-diversify his investments. Kuna thread hapa ilishakuja ya nyumba za masanja, hiyo ni dalili tosha kwamba hajiwekezezi kumoja

Anyway, ni rahisi sana kubwabwaja humu lakini waweza kuta huna hata tuta la nyanya wala nini
 
Soon mtamuita fisadi, na kuanza kumchukia, kawaida kwa watanzania, wivu halafu kazi hawataki kifanya, ukijituma unaitwa fisadi au freemason, watanzania tujifunze kependa maendeleo, na si kila mali inapatikana kwa wizi au nguvu za giza

Umenena mkuu, chuki zingine zinaonekana hapa hapa eti kakanyaga chakula kwani kakanyaga mchele au mpunga?
 
correction... mie nina zero za miaka ya themanini...

Hebu tuambie na wewe umelima ngapi, au umewekeza wapi?? maana naona unakomalia ya kijana anayejaribu ku-diversify his investments. Kuna thread hapa ilishakuja ya nyumba za masanja, hiyo ni dalili tosha kwamba hajiwekezezi kumoja

Anyway, ni rahisi sana kubwabwaja humu lakini waweza kuta huna hata tuta la nyanya wala nini

Mkuu tutumie busara basi naona haya mabishano yetu haya tija hata kidogo the bottom line of my discussion hukuielewa nilimpongeza kwa hizo alizolima ila nikasema naami kwa level yake anaweza fanya zaidi hata 100 + acres so ilikuwa ni challenji what I have or don't have sio muhimu sana ila kwa masanja ni muhimu kidogo kwasababu inaweza kuwa inspire vijana wengine kuwekeza hasa kwenye kilimo ambapo kuna fursa kubwa sana so naomba tukubali kutofautiana na tuishie hapa badala ya kulumbana bila sababu na kuitana majina ya hovyo sorry kwa kukuita pimbi and all the best
 
bravo Masanja, unahamasisha na vijana wengine kuwekeza katika kilimo na ufugaji na sio kung'ang'ana na Dar es Salaam pekee.
 
Mkuu tutumie busara basi naona haya mabishano yetu haya tija hata kidogo the bottom line of my discussion hukuielewa nilimpongeza kwa hizo alizolima ila nikasema naami kwa level yake anaweza fanya zaidi hata 100 + acres so ilikuwa ni challenji what I have or don't have sio muhimu sana ila kwa masanja ni muhimu kidogo kwasababu inaweza kuwa inspire vijana wengine kuwekeza hasa kwenye kilimo ambapo kuna fursa kubwa sana so naomba tukubali kutofautiana na tuishie hapa badala ya kulumbana bila sababu na kuitana majina ya hovyo sorry kwa kukuita pimbi and all the best
na mie samahani sana kwa kutuita boya
 
Soon mtamuita fisadi, na kuanza kumchukia, kawaida kwa watanzania, wivu halafu kazi hawataki kifanya, ukijituma unaitwa fisadi au freemason, watanzania tujifunze kependa maendeleo, na si kila mali inapatikana kwa wizi au nguvu za giza

si bora tumuite fisadi!
ah mwakani tu hapo tutamwita FREEMASON!we subiri!
 
Ila nyumba kubwa (ile ya mjini) madirisha ameweka ya kibangaizaji......

hayo madirisha ni ya kawaida na ni mazuri hivyo unavyoviana ni paper plaster uwa wanaweka wakati wa ujenzi kuzuia uharibifu wakati ujenzi unaendelea
 
Niliwahi kusikia kuwa huyu dogo masanja ni mkulima wa vitunguu mzuri,
nilijua ni uongo
sasa nimekubali
 
we masanja mshukuru mungu wako sio kutukandia wenzio

....,lazima awakandie nyie si mmeona dili kunyoa viduku,kutoboa pua na kuvaa videnglizi vyenu chini ya mat.ako ndo mana mnaliwa 0713 na wapema pumbavu sana wewe jitume la sivyo utaendelea kuwa chakula cha wapemba.
 
Hata yeye hatafuti sifa za kijinga ndio maana hajayaeleza yale ambayo ameifanyia jamii.

angekuwa hatafuti sifa angekaa kimya, na kama kwa mtazamo wako social responsibility ni kutafuta sifa za kijinga basi hiki alichotangaza ni sifa za kijinga zaidi
 
Back
Top Bottom