Hivi JOTI dini yake ni ipi maana anakoelekea siko, mimi binafsi sitamani hata kumwangalia kwenye kipindi chao, hasa anapoanza mambo yake ya makavu laivu
Kwa level yake alitakiwa kulima 100 + acres
hata kama angevuna ekari 100, so far kaifanyia nini jamii?
hata kama angevuna ekari 100, so far kaifanyia nini jamii?
hata kama angevuna ekari 100, so far kaifanyia nini jamii?
wewe bila shaka hujui lolote juu ya kilimo hasa hicho cha mpunga yaani unabeza Masanja kulima hekta 15?