Masanja Umechemsha bro!!

Nilijikuta naona aibu mimi nikawa naogopa kama vile mimi ndio naimba yale maneno,nikawa najiuliza hivi hizi nyimbo hazikaguliwi mashairi kabla yakuja kuimbwa mbele ya hadhara ya namna ile?

Nimejiuliza maswali mengi sana ki ukweli, Masanja ni kavurunda hata kama ni kusifia (was too much) kasifia ujinga na upumbavu, nimemchukia sana ile mineno yake.

Haya manyimbo nina wasi wasi kama yanakaguliwa kabla sidhani kama walifanya rehearsal asee.
 
Yule ni she is
 
Shida ya Masanja anaona uhai wa watu ni jambo la mchezo mchezo tu. Watu wamepoteza maisha ye anaona comedy

Nawahurumia "wapuuzi" wanaoenda kanisani kwake
 
Jifunze kuheshimu mitazamo na mawazo ya wengine, kumbuka Mungu hatoi copy.
 
Shida ya Masanja anaona uhai wa watu ni jambo la mchezo mchezo tu. Watu wamepoteza maisha ye anaona comedy .....

Nawahurumia "wapuuzi" wanaoenda kanisani kwake

nimetafakari nimeona kosa sio tu la Masanja ila alichofanya ndio mambo jiwe anayapenda sana.kwa kifupi jiwe anapenda sifa za kijinga,kina Masanja japo ni wapuuzi ila wana ka ujanja wamepata pakupigia pesa,nasikia wasanii wamezichota sana
 
Masanja anatafuta uteuzi, ndo maana anasifia sana, wampe hata ukuu wa wilaya atulie maana wenge limezidi😂😂😂huko twitter kipindi cha campaign katumika sana kupiga mapambio
 
nimetafakari nimeona kosa sio tu la Masanja ila alichofanya ndio mambo jiwe anayapenda sana.kwa kifupi jiwe anapenda sifa za kijinga,kina Masanja japo ni wapuuzi ila wana ka ujanja wamepata pakupigia pesa,nasikia wasanii wamezichota sana
Yah wasanii wamepiga sana pesa, ata social networks influencers wenye followers wengi walitumika kupiga campaign kwa malipo ya maana,aswa aswa Twitter, kingine msije mkashangaa Masanja kateuliwa kuwa mkuu wa wilaya, maana kasifia vya kutosha tangu kipindi cha campaign
 

kweli kabisa,Masanja nae anajua anachotafuta,ila jiwe bana amepaka rangi za CCM gari za Ikulu
 
Huyo jamaa mnavomuongelea ndo mnampa kiki. Mkaushieni tu.
 
Binafsi sijafurahishwa na baadhi ya maneno aliyoyatoa huyu kijana anaejiita Sijui Masanja.

Vijana kumbukeni yakuwa unapokuwa mbele ya umati wa watu wenye hekima na busara zao basi jitahidini Ubongo wenu utawaliwe na busara zaidi kuliko akili.
 
Kwani kaacha kuuza sembe
 
Unazungumzia huyuhuyu Masanja aliyeposti picha ya bwawa la Ethiopia akidanganya ni Stiegersgorge?
 
Tanzania hakuna Amani kuna uvumilivu tu, Tanzania ni kisiwa cha uvumilivu tu hakuna Amani, hamuwezi kuwa mnawabambikia kesi kesi watu uonevu usiokwisha alafu mseme kuna Amani.
Kwisha habari yako, naomba tusiambukizane stress za maisha mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…