Masanja unafanya ibada gani USA? Hilo vazi ni rasmi kwa wanaibada?

Masanja unafanya ibada gani USA? Hilo vazi ni rasmi kwa wanaibada?

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6,634
Reaction score
7,015
Nimekuwa na mashaka na aina ya suti uliyovaa. Napenda kujua ni kanisa gani ulilotoka kuabudu?

Hata hivyo kwa jibu lolote, najua hakuna jipya chini ya jua.

masanjaa.jpg
 
Kila mmoja ana haki ya kuabudu akitakacho,we unadhani kumuabudu yesu au Muhammad uko sahihi sana!??
 
Acheni kufanya maisha kuwa magumu. Sijaona kasoro ya hilo vazi kabisaa unless humkubali tu jamaa personally tu
 
Nimekuwa na mashaka na aina ya suti uliyovaa. Napenda kujua ni kanisa gani ulilotoka kuabudu?

Hata hivyo kwa jibu lolote, najua hakuna jipya chini ya jua.

View attachment 1260760

Siku si nyingi utasikia na yeye amekuwa mchungaji!
Anaanzisha kanisa lake, na Mara paaap!waumini kibao!!
Mipesa hiyoooo!!
Harafu kijana darasa LA saba tu!!kama Mond lakini mipesa kibaoooo!wasomi tunafeli wapi?!!! Si bora utoke na digree yako ya uhandisi,harafu ukajifunze ukomedy kama masanja au joti!!
Lakini haya ni maisha unaweza ukawa na ukomedy wako, ukaishia kama Bambo!!!!
Ahhhhh ni utani tu!
 
Back
Top Bottom