kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Yaani kila jambo anapost, yaani ni zaidi ya uzuzu, kuhusu vazi ngoja tumwache na ibada zake maana ni friidom ya everewanNimekuwa na mashaka na aina ya suti uliyovaa.Napenda kujua ni kanisa gani ulilotoka kuabudu?
Hata hivyo kwa jibu lolote,najua hakuna jipya chini ya juaView attachment 1260760
Umenikumbusha mambo mengi kumtaja huyo Bonke.Asije akawa Kama wakina Reginard Bonke
Mboni nasikiaga eti anauza unga (nahisi unga wa muhogo)Hata huo mchele sijui huwa anamuuzia nani
Hakuna Marefu Yasiyo Na NchaKuna kitu kimejificha nyuma ya "KUUZA MCHELE HEWA" na "UCHUNGAJI WA MWENDOKASI."
Kuuza mchele na uchungaji ambao hana kanisa ndio aweze kununua X6?? Safari za Nje ambazo anaenda kusali kila siku?
Hata huo mchele sijui huwa anamuuzia nani
nitakutagWakikujibu...
una uelewa sanaMjenzi
Kumbe hata huko Marekani kuna miti miti kama hapa kwetu UpareniNimekuwa na mashaka na aina ya suti uliyovaa. Napenda kujua ni kanisa gani ulilotoka kuabudu?
Hata hivyo kwa jibu lolote, najua hakuna jipya chini ya jua.
View attachment 1260760
Nimekuwa na mashaka na aina ya suti uliyovaa. Napenda kujua ni kanisa gani ulilotoka kuabudu?
Hata hivyo kwa jibu lolote, najua hakuna jipya chini ya jua.
View attachment 1260760