Masanja unafanya ibada gani USA? Hilo vazi ni rasmi kwa wanaibada?

Tabutupu, Kitenge wengi wanamjua yuko kitengo

Ila wanaosafiri sana wengi sana hapa bongo almost wote wasanii wana umaarufu Manara, Edo Kumwembe etc


Masanja mjasiriamali mkumbuke
Way back nakumbuka miaka Ya nyuma alishoot video akionesha crusher zake tatu na crusher moja huwa inaingiza laki nne Kwa siku
 
Kama kuanzisha kanisa ni simple hivyo basi karibu kila mtu angefanya hivyo ili afanikiwe
 
Hakuna mashine ya kuona unga tumboni???
Acha kupotosha kama hujui kitu nyamaza
Hakuna mashine inayotumika sasa yenye mionzi ya ki atomic ni kinyume na sheria za atomic kumpiga x-ray binadamu mwili mzima airport. Kama hujasafiri kaa kimya.
Mizigo utapigwa x-ray ila siyo binadamu. Na hakuna mashine yoyote airport ya kujua kama umebeba unga tumboni jua ivyo dogo.
 
Chief Usibishane tuuu...Jamaa kweli Analima kilimo kikubwa pale Ubaruku,Mbeya...Ni mashamba ya Umwagiliaji...so kuvuna Ni 100%
Mwekezaji aliyepewa na serikali yetu hua hamalizi hizo hekta zote hapo kapunga...so unafanya booking then unakodiwa kwa plot..kila plot ni heka 15...Masanja hakosi plot Zaid ya 10 Kama sijakosea...na kila plot Moja kuhudumia Hadi mavuno sio chini ya 10M...
Nimelima karibia na plots zake...na kila mwaka jamaa anaongeza plots na kuupa mpunga/ Mchele wake thamani...so katika Hilo la kilimo jamaa anatengeneza hela na msimamizi wa hiyo project Ni Dada yake as yupo kule all the time!
Wewe ni Mbweha kabisa hizo machine alizinunua kwa uchungaji kabla hajaanza kulima? Kilimo 50/50 mzee usilete kilimo chako cha facebook na instagram kupiga picha na mshine za mpunga ndio ukajua ni kilimo.
 
Mkuu sibishi kwamba jamaa halimi huko ubaruku,mie nazungumzia hayo mafanikio yake kununua BMW X6 yanatokana na kilimo tu kisa amepiga picha ameonyesha mashine za kuvuna mpunga.....Ingekuwa kilimo kina output hizo hakuna ambaye angebaki mjini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…