Masanja unafanya ibada gani USA? Hilo vazi ni rasmi kwa wanaibada?

Jaman hata wewe umeshindwa kumuelewa mleta mada?

Angalia suti na huo urembo wake ni masonic signs
 
Basi beba unga upitishe,angalia hata YouTube borders wanakamata halafu wanakutia kwenye chumba kidogo wao wanabaki na computer kukuangalia tumboni
 
Jaman hata wewe umeshindwa kumuelewa mleta mada?

Angalia suti na huo urembo wake ni masonic signs
Hiyo ni tafsiri yako finyu uliyofundishwa madrassa.
Shetani ni muongo na ni baba wa huo.
kila kitu kuanzia muziki, uimbaji na mavazi mzuri yalikuwa kwa Mungu, shetani kaiba, shetani hakai kwenye mavazi hata siku moja, wacha kutisha watu, itafika sku mtasema hata kazznu ya shehe na padri ni masonic, mtasema kilemba cha sista ama nikkab ya ustadhat ni uchawi, hapana, am not that low
 
Huyo Masanja ni punda ,hakuna cha ibada hapo
 

Mkuu ungemjibu kiustaarabu tu, kwani mpaka umwambie kama hajasafiri akae kimya? Inawezekana hana tu uelewa wa mambo na anahitaji kueleweshwa si kwa kubezwa. Afterall binafsi wala hata hizo safari za midege sinaga mzuka nazo kihivyo. Ni kwa vile tu mtu unahitaji kusafiri na ni lazima uende, na sehemu unayoyenda haina usafiri wa gari. Ziadi ya hapo ni roho juu tu ukiwa angani mwanzo mwisho.
 
Hivi ukiwa mlokole ni lazima uvae miviatu imechongoka mithili ya bamia
 
Dah
 
Aseehhh noooma sanaa
 
Umetisha sana mkurugenzi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…