Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
Mi ndio maana sipendi mambo ya kuzika harakaharaka
πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Ndo matatizo ya kuzika harakaharaka mtu anapoonekana amekufa, matokeo yake mnazika na watu wazima.Duuh, ila inavyoonekana zamani watu walizikaga wenzao wakiwa bado hawajakufa, maana mtu ukikaa kimya tu wanahisi ndio umeenda na hakukua na vipimo kujua kama umekufa ama laa
Nakazianchi hii ina wajinga wengi, ukiwa na ngozi nyeusi automatikali wewe ni mjinga
Ameen.Mungu nijaalie umri mrefu nizidi kuona mengi
πππ
Na kama tungekua tunazika harakaharaka kule mrenyi tungezika wengi waliozimishwa na mbege
Sio zamani, hata sasa watu wanafia kwenye jokofu huko....!!!Duuh, ila inavyoonekana zamani watu walizikaga wenzao wakiwa bado hawajakufa, maana mtu ukikaa kimya tu wanahisi ndio umeenda na hakukua na vipimo kujua kama umekufa ama laa
Ukifa kichawi maana yake hujafa hata ukfukua kaburi mwili hautauona!Mtu huyu hakuwa amekufa bali alidhaniwa kuwa amekufa. So hakuna maajabu hapo.
Alizimia huyo
Mbona Yuko kwenye kitanda Cha kamba walisha anza kumkamua huyu.
Ewaah, nakumbuka zamani kidogo kuna jirani yetu alizinduka siku ya tatu akaomba apewe supu ya jogoo na ndizi za moto.Haswa msimu huu
AiseeeeeeMijihela yote hiyo ya korosho kwanini hawanunui magodoro na vitanda.
Sidhani Kama unaweza kumpeleka binti wa mtu kwenye hicho kitanda. Hata Cha Polepole kina afadhali