MASASI: Aliyedaiwa kuwa amefariki amezinduka na kuomba apatiwe uji anywe

MASASI: Aliyedaiwa kuwa amefariki amezinduka na kuomba apatiwe uji anywe

Jamani watu wa huko Wana Maisha duni sana. Hapo ndio bedroom na vifaa vyote vya gharama vinahifadhiwa hapo kwa usalama zaidi.
Ndio maana ukimchokoza binti wa huko na kumpeleka gheto kwenye kitanda Kama Cha mwenezi mstaafu chenye neti, feni na KY ujue umeoa.
hahahaha kweli aisee,utakuta demu hataki Toka gheto hivi hivi!
 
Mi ndio maana sipendi mambo ya kuzika harakaharaka
🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
Hata mimi nadhani waislam wanakuwa hawajafa vizuri maana wanawazika haraka.

Kingine mambo ya kuweka mochwari haraka wenda mtu anakuwa hajafa kabisa lifridge linammaliza
 
Nilimulizaga mzee mmoja kwamba, zamani walikuwa wanatumia mbinu gani kubaini mtu aliyekufa ili wasimzike mtu aliyezimia!

Jibu, ni kwamba, tofauti na mapigo ya moyo, eti mtu anayeanza kufa, nywele za utosini ni rahisi kunyonyoka.

Je, hivi wale ambao wapo kwenye coma, nywele za utosini huwa zinanyonyoka kirahisi?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom