MASASI: Aliyedaiwa kuwa amefariki amezinduka na kuomba apatiwe uji anywe

hahahaha kweli aisee,utakuta demu hataki Toka gheto hivi hivi!
 
Mi ndio maana sipendi mambo ya kuzika harakaharaka
πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
Hata mimi nadhani waislam wanakuwa hawajafa vizuri maana wanawazika haraka.

Kingine mambo ya kuweka mochwari haraka wenda mtu anakuwa hajafa kabisa lifridge linammaliza
 
Nilimulizaga mzee mmoja kwamba, zamani walikuwa wanatumia mbinu gani kubaini mtu aliyekufa ili wasimzike mtu aliyezimia!

Jibu, ni kwamba, tofauti na mapigo ya moyo, eti mtu anayeanza kufa, nywele za utosini ni rahisi kunyonyoka.

Je, hivi wale ambao wapo kwenye coma, nywele za utosini huwa zinanyonyoka kirahisi?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…