Masau Bwire: Lazima Tumuangamize Simba, 28/10/2018.

Masau Bwire: Lazima Tumuangamize Simba, 28/10/2018.

sembo

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
4,350
Reaction score
3,451
Msemaji wa Ruvu Shooting, Ndg. Masau Bwire kaanza tambo zake kua lazima wamkalishe Mnyama 28/10/2018.
Namnukuu...

Tuko mawindoni, tunamuwinda Simba wa Kariakoo, lazima tumuangamize. Kwa kutumia kitu kinachoitwa "NOTO", Jumapili, Oktoba 28, 2018, Uwanja wa Taifa Dar Es salaam, Ruvu Shooting tumedhamiria "Kumpapasa square" Simba wa Kariakoo ... Haikuwahi kutokea, inakwenda kutokea.

Neno Langu Kwa Masau:
Msimu uliopita, ulitamba hivi hivi ila kilichokukuta Taifa nadhani wakikumbuka barabara. Sasa 28/10/2018 tunaenda ku square tulichokifanya msimu uliopita.
spotiripota_BpYWtKVBmsV.jpeg
 
Mzee Wa kupapasa lazima awapapase kama mlivyopapaswa kwa mbao
 
Msemaji wa Ruvu Shooting, Ndg. Masau Bwire kaanza tambo zake kua lazima wamkalishe Mnyama 28/10/2018.
Namnukuu...

Tuko mawindoni, tunamuwinda Simba wa Kariakoo, lazima tumuangamize. Kwa kutumia kitu kinachoitwa "NOTO", Jumapili, Oktoba 28, 2018, Uwanja wa Taifa Dar Es salaam, Ruvu Shooting tumedhamiria "Kumpapasa square" Simba wa Kariakoo ... Haikuwahi kutokea, inakwenda kutokea.

Neno Langu Kwa Masau:
Msimu uliopita, ulitamba hivi hivi ila kilichokukuta Taifa nadhani wakikumbuka barabara. Sasa 28/10/2018 tunaenda ku square tulichokifanya msimu uliopita.View attachment 911972

Inawezekana Masalu Bwire ni mpenzi wa klabu ya Simba....Lakini wasemaji wa aina hii ndio wanaofanya hata soka ya Tanzania ishindwe kuendelea ...yaaniwanaleta tambo za vijiweni kwenye masuala ya msingi...
 
Anataka "Kupapaswa" huyu.. Mwishoni wa msimu 2017/2018 alipapasa sana wenzake
 
Okwi alipigwa karate ya koo akazimia msimu uliopita....hawa wanajeshi sio watu wazuri
 
Okwi alipigwa karate ya koo akazimia msimu uliopita....hawa wanajeshi sio watu wazuri

Nakumbuka sana gazeti moja lilivyoandika tukio hili, "Okwi Apigwa Ngumi na Afande, Azimia"

Inavyoonekana hawa wangejiunga na mchezo wa ngumi
 
Huwa napenda Sana anavotoa tambo zake masau bwire ni miongon wa wasemaje bora wa timu za Africa hasa club
 
Masau bwire Anakwambia zaman simba alikuwa anatisha lakin sasa hiv anafukuzwa Kwa fimbo
 
Back
Top Bottom