sembo
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 4,350
- 3,451
Msemaji wa Ruvu Shooting, Ndg. Masau Bwire kaanza tambo zake kua lazima wamkalishe Mnyama 28/10/2018.
Namnukuu...
Tuko mawindoni, tunamuwinda Simba wa Kariakoo, lazima tumuangamize. Kwa kutumia kitu kinachoitwa "NOTO", Jumapili, Oktoba 28, 2018, Uwanja wa Taifa Dar Es salaam, Ruvu Shooting tumedhamiria "Kumpapasa square" Simba wa Kariakoo ... Haikuwahi kutokea, inakwenda kutokea.
Neno Langu Kwa Masau:
Msimu uliopita, ulitamba hivi hivi ila kilichokukuta Taifa nadhani wakikumbuka barabara. Sasa 28/10/2018 tunaenda ku square tulichokifanya msimu uliopita.