Msemaji wa Ruvu Shooting, Ndg. Masau Bwire kaanza tambo zake kua lazima wamkalishe Mnyama 28/10/2018.
Namnukuu...
Tuko mawindoni, tunamuwinda Simba wa Kariakoo, lazima tumuangamize. Kwa kutumia kitu kinachoitwa "NOTO", Jumapili, Oktoba 28, 2018, Uwanja wa Taifa Dar Es salaam, Ruvu Shooting tumedhamiria "Kumpapasa square" Simba wa Kariakoo ... Haikuwahi kutokea, inakwenda kutokea.
Neno Langu Kwa Masau:
Msimu uliopita, ulitamba hivi hivi ila kilichokukuta Taifa nadhani wakikumbuka barabara. Sasa 28/10/2018 tunaenda ku square tulichokifanya msimu uliopita.View attachment 911972
Kwa Simba hii ya sasa, sidhani kama kunà timu inàweza SimBaRuvu shooting papasa hao mikia
Mbao waliwafanyajeKwa Simba hii ya sasa, sidhani kama kunà timu inàweza SimBa
Hivi MBAO v Simba matokeo yalikuaje vile??? Tukumbushane wakuuKwa Simba hii ya sasa, sidhani kama kunà timu inàweza SimBa
Okwi alipigwa karate ya koo akazimia msimu uliopita....hawa wanajeshi sio watu wazuri
Huyu jamaa kwenye tambo anaweza akakupiga ukaumia sana.Huwa napenda Sana anavotoa tambo zake masau bwire ni miongon wa wasemaje bora wa timu za Africa hasa club
Anakwambia tuliahid kuzika mait imefufuka mochwar,Huyu jamaa kwenye tambo anaweza akakupiga ukaumia sana.
Mpapaso Square!
Wasiwapapase tu, Bali pia wawakate Mikia yote.Ajiandae 5-0 taifa