Pancras Suday
JF-Expert Member
- Jun 24, 2011
- 8,141
- 3,838
DuuuuhAjiandae 5-0 taifa
Nilitabiri mule mule yaaani hahahaaaHongera sana
Aisee ukiskia dream comes true ndio hiiDuuuuh
Kila lakheri Ruvu shooting
Ruvu shooting papasa hao mikia
Mzee Wa kupapasa lazima awapapase kama mlivyopapaswa kwa mbao
Mbao waliwafanyaje
Okwi alipigwa karate ya koo akazimia msimu uliopita....hawa wanajeshi sio watu wazuri
Mkuu Mbao vipi hawaiwezi Simba?
Hivi MBAO v Simba matokeo yalikuaje vile??? Tukumbushane wakuu
Masau bwire Anakwambia zaman simba alikuwa anatisha lakin sasa hiv anafukuzwa Kwa fimbo
FT: Simba SC 5-0 Masau BwireWasiwapapase tu, Bali pia wawakate Mikia yote.
Mkuu uko wapi saivi naona kimyaWasiwapapase tu, Bali pia wawakate Mikia yote.
Hii kweli, Baba uliona mbali.Ajiandae 5-0 taifa
Ndicho kilichotokeaDuuuuh
Ha, ha,View attachment 20181029155510.mp4Ndicho kilichotokea
Hongera.Okwi-hattrick!Alipigwa 7 huyu mwacheni kesho sio mbali. Okwi hatrick
Haaaa haaaa natishaAlipigwa 7 huyu mwacheni kesho sio mbali. Okwi hatrick