Masau Bwire: Lazima Tumuangamize Simba, 28/10/2018.

Masau Bwire: Lazima Tumuangamize Simba, 28/10/2018.

THIS IS SIMBA BROTHER..
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
salehjembe___BpfHOV6lE5u___.jpg
 
Kila lakheri Ruvu shooting
Ruvu shooting papasa hao mikia
Mzee Wa kupapasa lazima awapapase kama mlivyopapaswa kwa mbao
Mbao waliwafanyaje
Okwi alipigwa karate ya koo akazimia msimu uliopita....hawa wanajeshi sio watu wazuri
Mkuu Mbao vipi hawaiwezi Simba?
Hivi MBAO v Simba matokeo yalikuaje vile??? Tukumbushane wakuu
Masau bwire Anakwambia zaman simba alikuwa anatisha lakin sasa hiv anafukuzwa Kwa fimbo
Wasiwapapase tu, Bali pia wawakate Mikia yote.
FT: Simba SC 5-0 Masau Bwire
 
Back
Top Bottom