kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Wamesahau na Yanga walipata penalty ila kaseke akakosa, kama ilikuwa ruvu lazma wafungwe kwanini kipa alidakaSikujua kama kuna washabiki wapumbavu kiasi hiki, Mkwasa ndiye aliyekuwa ndani ya uwanja akicheza? Zile nafasi walizotengeneza kisha Metacha akaziokoa hukuziona? Au magoli waliokosa wachezaji wa Ruvu unataka kusema, Mkwasa ndio katoa maelekezo kuwa wakifika golini wasifunge?
Kama ndio maelekezo ndio hayo kwanini ilipotokea makosa ya Mwamnyeto mchezaji wa Ruvu akaweka mpira nyavuni kwanini asingepaisha kama walipewa maelekezo ya kutofunga?
Kama mpira hauna kufanya makosa, vipi unamzungumziaje Mwamnyeto aliyekuwa bora sana kwa michezo yote ya nyuma lakini anatoa pochi mbili kwa Ruvu?
Mtazamo wa mashabiki wa upinzani wanaona kama vile Mkwasa lazima awafanyie Yanga mechi kuwa nyepesi kwavile ni mwana Yanga, lakini mmeshindwa kufikiria kuwa Mkwasa kaondoka Yanga kwa Mambo ya majungu na fitna na kuleta migogoro kwenye timu hivyo ni vipi kama mechi dhidi ya Yanga alitaka kudhihirisha kuwa yeye ni bora zaidi ya makocha wageni ambao Yanga wanawaamini zaidi kuliko yeye Mkwasa?
Mpira kila mtu kautazama, Ruvu walikuwa wakicheza vyema sana kwanzia dakika za mwanzo mpaka dakika za mwisho, goli la kwanza wamefungwa kibahati nasibu tu maana mpira ulikuwa una landa landa tu. Goli la pili pia ni krosi iliyokuwa ni hatari zaidi.
Mabeki wa Ruvu wamepambana sana kufanya making na kuokoa mipira mingi ya hatari sasa sijui mnaosema ruvu walikuwa wanatoa pasi kwa Yanga mliangalia mechi ya mwaka gani.
Hivi yale aliyoyafanya Mwamnyeto angelikuwa ndio mchezaji wa Ruvu ndio kafanya yale mngesemaje?
Sikujua kama kuna washabiki wapumbavu kiasi hiki, Mkwasa ndiye aliyekuwa ndani ya uwanja akicheza? Zile nafasi walizotengeneza kisha Metacha akaziokoa hukuziona? Au magoli waliokosa wachezaji wa Ruvu unataka kusema, Mkwasa ndio katoa maelekezo kuwa wakifika golini wasifunge?
Kama ndio maelekezo ndio hayo kwanini ilipotokea makosa ya Mwamnyeto mchezaji wa Ruvu akaweka mpira nyavuni kwanini asingepaisha kama walipewa maelekezo ya kutofunga?
Kama mpira hauna kufanya makosa, vipi unamzungumziaje Mwamnyeto aliyekuwa bora sana kwa michezo yote ya nyuma lakini anatoa pochi mbili kwa Ruvu?
Mtazamo wa mashabiki wa upinzani wanaona kama vile Mkwasa lazima awafanyie Yanga mechi kuwa nyepesi kwavile ni mwana Yanga, lakini mmeshindwa kufikiria kuwa Mkwasa kaondoka Yanga kwa Mambo ya majungu na fitna na kuleta migogoro kwenye timu hivyo ni vipi kama mechi dhidi ya Yanga alitaka kudhihirisha kuwa yeye ni bora zaidi ya makocha wageni ambao Yanga wanawaamini zaidi kuliko yeye Mkwasa?
Mpira kila mtu kautazama, Ruvu walikuwa wakicheza vyema sana kwanzia dakika za mwanzo mpaka dakika za mwisho, goli la kwanza wamefungwa kibahati nasibu tu maana mpira ulikuwa una landa landa tu. Goli la pili pia ni krosi iliyokuwa ni hatari zaidi.
Mabeki wa Ruvu wamepambana sana kufanya making na kuokoa mipira mingi ya hatari sasa sijui mnaosema ruvu walikuwa wanatoa pasi kwa Yanga mliangalia mechi ya mwaka gani.
Hivi yale aliyoyafanya Mwamnyeto angelikuwa ndio mchezaji wa Ruvu ndio kafanya yale mngesemaje?
Wamesahau na Yanga walipata penalty ila kaseke akakosa, kama ilikuwa ruvu lazma wafungwe kwanini kipa alidaka
Ndugu huna haja ya kupoteza muda wako kuandika mambo mengi kwaajili ya watu wasio jua mpira, ogopa sana watu walioanza kushabikia mpira kwasababu ya kubet. Kinachowauma simba ni kwanini YANGA iwalipie kisasi simba kwa ruvu shooting?Sikujua kama kuna washabiki wapumbavu kiasi hiki, Mkwasa ndiye aliyekuwa ndani ya uwanja akicheza? Zile nafasi walizotengeneza kisha Metacha akaziokoa hukuziona? Au magoli waliokosa wachezaji wa Ruvu unataka kusema, Mkwasa ndio katoa maelekezo kuwa wakifika golini wasifunge?
Kama ndio maelekezo ndio hayo kwanini ilipotokea makosa ya Mwamnyeto mchezaji wa Ruvu akaweka mpira nyavuni kwanini asingepaisha kama walipewa maelekezo ya kutofunga?
Kama mpira hauna kufanya makosa, vipi unamzungumziaje Mwamnyeto aliyekuwa bora sana kwa michezo yote ya nyuma lakini anatoa pochi mbili kwa Ruvu?
Mtazamo wa mashabiki wa upinzani wanaona kama vile Mkwasa lazima awafanyie Yanga mechi kuwa nyepesi kwavile ni mwana Yanga, lakini mmeshindwa kufikiria kuwa Mkwasa kaondoka Yanga kwa Mambo ya majungu na fitna na kuleta migogoro kwenye timu hivyo ni vipi kama mechi dhidi ya Yanga alitaka kudhihirisha kuwa yeye ni bora zaidi ya makocha wageni ambao Yanga wanawaamini zaidi kuliko yeye Mkwasa?
Mpira kila mtu kautazama, Ruvu walikuwa wakicheza vyema sana kwanzia dakika za mwanzo mpaka dakika za mwisho, goli la kwanza wamefungwa kibahati nasibu tu maana mpira ulikuwa una landa landa tu. Goli la pili pia ni krosi iliyokuwa ni hatari zaidi.
Mabeki wa Ruvu wamepambana sana kufanya making na kuokoa mipira mingi ya hatari sasa sijui mnaosema ruvu walikuwa wanatoa pasi kwa Yanga mliangalia mechi ya mwaka gani.
Hivi yale aliyoyafanya Mwamnyeto angelikuwa ndio mchezaji wa Ruvu ndio kafanya yale mngesemaje?
Acha umbwiga.Hiyo ndiyo kauli ya msemaji wa Ruvu shooting akijitetea dhidi ya kauli yake ya jana baada ya mechi ya yanga kwamba kwenye timu kuna"Yuda" Kauli ambayo ilitafsiriwa kama kuna msaliti kwenye timu.
Nimejikuta nacheka peke yangu baada ya kusikia utetezi wake.
Hata hivyo sisi pia watazamaji tuliona kuna kitu si bure.Wachezaji walikuwa wakitoa pasi kwa mpinzani ili afunge goli jingine hasa waliposawazisha kwa bahati mbaya.
Yuda hakufurahia na hiyo akafanya kila liwezekanalo ili waruhusu goli.
Yuda ndiye aliyekuwa uwanjani anacheza mpira au wachezaji ndio waliokuwa wanacheza mpira?Kwani kipa alikuwa Yuda?
Haya tutajie waliocheza mle uwanjani, kulikuwa na mayuda wangapi? Tuwekee na majina yao hapa hao wakina Yuda.Kwani kipa alikuwa Yuda?
Huyo kipa si angeipisha hiyo pen.Yuda ndiye aliyekuwa uwanjani anacheza mpira au wachezaji ndio waliokuwa wanacheza mpira?
Masau Bwire na Zacharia Hanspope wanataka kutuharibia ligi!Umeanza mwanzo ila ulipofika hapa ndo ulipokosea,
"Hata hivyo sisi pia watazamaji tuliona kuna kitu si bure.Wachezaji walikuwa wakitoa pasi kwa mpinzani ili afunge goli jingine hasa waliposawazisha kwa bahati mbaya."
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaacha kutumia akili kutafakari, wanajawa na hisia na mihemko tu utafikiri Mkwasa ndiye aliyekuwa uwanjani anacheza. Au laiti kama ametoa maelekezo maalumu basi ile penati kipa asingeidaka. Na lile goli la kusawazisha, mchezaji angepaisha au akautoa nje mpiraHuyo kipa si angeipisha hiyo pen.
Well said,mwamnyeto kampa pasi mchezaji wa ruvu kafunga,mchezaji wa ruvu kaushika ndani ya penalty kipa kadaka,sasa?Sikujua kama kuna washabiki wapumbavu kiasi hiki, Mkwasa ndiye aliyekuwa ndani ya uwanja akicheza? Zile nafasi walizotengeneza kisha Metacha akaziokoa hukuziona? Au magoli waliokosa wachezaji wa Ruvu unataka kusema, Mkwasa ndio katoa maelekezo kuwa wakifika golini wasifunge?
Kama ndio maelekezo ndio hayo kwanini ilipotokea makosa ya Mwamnyeto mchezaji wa Ruvu akaweka mpira nyavuni kwanini asingepaisha kama walipewa maelekezo ya kutofunga?
Kama mpira hauna kufanya makosa, vipi unamzungumziaje Mwamnyeto aliyekuwa bora sana kwa michezo yote ya nyuma lakini anatoa pochi mbili kwa Ruvu?
Mtazamo wa mashabiki wa upinzani wanaona kama vile Mkwasa lazima awafanyie Yanga mechi kuwa nyepesi kwavile ni mwana Yanga, lakini mmeshindwa kufikiria kuwa Mkwasa kaondoka Yanga kwa Mambo ya majungu na fitna na kuleta migogoro kwenye timu hivyo ni vipi kama mechi dhidi ya Yanga alitaka kudhihirisha kuwa yeye ni bora zaidi ya makocha wageni ambao Yanga wanawaamini zaidi kuliko yeye Mkwasa?
Mpira kila mtu kautazama, Ruvu walikuwa wakicheza vyema sana kwanzia dakika za mwanzo mpaka dakika za mwisho, goli la kwanza wamefungwa kibahati nasibu tu maana mpira ulikuwa una landa landa tu. Goli la pili pia ni krosi iliyokuwa ni hatari zaidi.
Mabeki wa Ruvu wamepambana sana kufanya making na kuokoa mipira mingi ya hatari sasa sijui mnaosema ruvu walikuwa wanatoa pasi kwa Yanga mliangalia mechi ya mwaka gani.
Hivi yale aliyoyafanya Mwamnyeto angelikuwa ndio mchezaji wa Ruvu ndio kafanya yale mngesemaje?
Yeesss...Wanaacha kutumia akili kutafakari, wanajawa na hisia na mihemko tu utafikiri Mkwasa ndiye aliyekuwa uwanjani anacheza. Au laiti kama ametoa maelekezo maalumu basi ile penati kipa asingeidaka. Na lile goli la kusawazisha, mchezaji angepaisha au akautoa nje mpira
Tutajie huyo yuda ni yupi?Masau Bwire kawaumbua ni kweli kulikuwa na yuda najiuliza inakuwaje walinzi wa ruvu badala ya kuokoa wanaanza kupeana pasi tena kwa kuwarudishia mpira wapinzani au neio mfumo mpya walikuwa wanaujaribu