Masau Bwire: Yuda wa mechi ya jana sio yule iiscariote bali ni yule yuda aliyeandika kitabu kwenye biblia.

Masau Bwire: Yuda wa mechi ya jana sio yule iiscariote bali ni yule yuda aliyeandika kitabu kwenye biblia.

Hiyo ndiyo kauli ya msemaji wa Ruvu shooting akijitetea dhidi ya kauli yake ya jana baada ya mechi ya yanga kwamba kwenye timu kuna"Yuda" Kauli ambayo ilitafsiriwa kama kuna msaliti kwenye timu.

Nimejikuta nacheka peke yangu baada ya kusikia utetezi wake.

Hata hivyo sisi pia watazamaji tuliona kuna kitu si bure.Wachezaji walikuwa wakitoa pasi kwa mpinzani ili afunge goli jingine hasa waliposawazisha kwa bahati mbaya.

Yuda hakufurahia na hiyo akafanya kila liwezekanalo ili waruhusu goli.
Simba inadharaulika kwa sababu ya mawazo ya wapuuzi wachache kama kama ww.
 
Mayuda wapo wamesababisha mpaka kocha wa azam kafukuzwa, we timu inafunga goli moja au mbili tu bila bakuli lazima waangukie pua
 
Back
Top Bottom