Mase arudi tena kwenye game ya hip hop

Mase arudi tena kwenye game ya hip hop

Ndugu wana JF

Habari zenu wakuu, nimepotea kitambo kwa threads zangu za kuwashika vilivyo. Yule mkongwe wa game asiyekamatika na style yake ya kurap ambaye aliamua kuwa mchungaji, amerudi upya na kibao chake kipya cha nothing. Aiseee ni noma mbaya, nimeamua kumrusha kwani ndiye ninayemkubali sana toka enzi hizo.


Muda wake ushapita aliwahi kurudi na kibao cha welcome back lakini haikuchukua round akapotea na this time atapotea tu
 
Hafanyi Muzik kwa njaa
Kufanya mziki kwa njaa na kutopotea kuna uhusiano gani?
Kuna watu wana ela na wako kwenye game sana tu ungesema diddy ngekuelewa but mase sio kati ya wanamziki wenye ela ndefu.
 
Mwanangu ushapata demu bikra? Mwaka 2018 tuhakikishe tunapata, hili jini nilisikia kwenye ngoma ya G.Unit katika verse ya Lyod Banks
 
Back
Top Bottom