Masela na ndoto ya bahari Jangwani

Masela na ndoto ya bahari Jangwani

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
Kuna masela wawili pale jangwani waliofanikiwa kuipata chemchem baada ya miaka 88 na wananchi rasmi kuanza kuiota bahari katikati ya jangwa. Hawa ni viongozi wangu ila ni masela wenzangu pia.

Wakati waanza masela hawa kila mtu hakuwa na imani nao kama wateza kupata maji jangwani na badala yake waliitwa sio wozoefu,masela sana,wana ushikaji mwingi sana na maneno mengi ya dharau.

Kama ilivyokawaida ya masela huwa awakati tamaa zaidi ya kukubali na kuhishi maono na ndoto zao iwapo watafeli basi iwe bahati mbaya si kwa kushindwa.

Hawa hapa masela wa jangwani na rekodi zao za kihuni,kisela na kishikaji

Kutoka kwa masela hawa Yanga imevuna haya
1 - Imechukua ubingwa baada ya miaka minne kuukosa

2 - Waliikuta ikiwa na pointa 3.5 CAF ila sasa ina point 15

3 - Wameikuta timu ikiwa nafasi ya 78 kwenye CAF sasa iko nafasi ya 21

4 - Historia ya Nchi wameiweka bana Timu ipo nusu fainali sasa

1f600.svg

5 - Kambi ya Timu ilikuwa Avic na sasa wako nusi fainali

6 - Mechi 49 bila kufungwa chini ya Masela hawa hawa

7 - Hawa jamaa pamoja usela wao wameweza kuingia sokoni na kushinda vita ya kununua wachezaji mbele ya Vilabu vikubwa africa
Masele wenzangu

@Arafat__AH

na Prezdent

@Caamil8

Mauya yenu hayo


6701BA80-03BE-494C-9E9C-7990F7ED5709.jpeg
 
Back
Top Bottom