Cjui wakat anamchumbia hakua anaona kama n bibi
Mkuu upo mkoa gani?!Cjui wakat anamchumbia hakua anaona kama n bibi
Acha hizo wewe.Siyo vizuriCjui wakat anamchumbia hakua anaona kama n bibi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125]Masele ni kijana au mzee
Maana huyo mke sio KIJANA
meki up..mbona ize tu hapoCjui wakat anamchumbia hakua anaona kama n bibi
acha dharau sio fresh kila mtu huwa anakitu anakipenda sasa yy ndio kampenda huyo unayemuita bibiCjui wakat anamchumbia hakua anaona kama n bibi
Honeymoon ivi ipo kwenye vitabu vitakatifu au kaja nayo mzungu?Katika mahusiano ya sasa kuna kitu hakiko sawa.
Inafika mahali hata umuhimu wa kwenda HONEYMOON haupo tena maana watu wanafanya tendo la ndoa hata kabla ya ndoa yenyewe.
Hili tatizo ni kubwa sana.