Asante kwa taarifa lakini tupe namba ili tuweze kujua hali halisi kiasilimia. Asante sana wachaguzi wa Nyamagana na IlemelaKwa taarifa nyepesi toka mwanza nyamagana- masha wa ccm yuko hoi bin taabani mbele ya mgombea wa chadema kwa mbali sana. Karibu sehemu zote za udiwani chadema washachukuwa ushindi tayari. Pia ilemela dialo yuko kwenye intesive care unit, chadema inaongoza kwa juu sana. Hivyo mwanza wamempeleka slaa ikulu.
URAIS
Kituo: Shule ya Msingi Peramiho "B" KATA YA MAPOSENI
CHADEMA 116
CCM 82
CUF 1
APPT 1
UBUNGE: CCM imemwacha CUF mbali sana. Jenista Mhagama anaongoza.
Kituo: Jengo la Maarifa ya Nyumbani: KATA YA MAPOSENI
URAIS:
CCM 147
CHADEMA 42
UBUNGE: KAMA HAPO JUU
Ruvuma:
Ruvuma:
Kwa mujibu wa chanel ten huko ruvuma songea, chadema wanaongoza superman. Wanafuatiwa kwa mbali na ccm