Elections 2010 Masha adondoshwa Jimbo la Nyamagana; Wenje (Chadema) ashinda

Status
Not open for further replies.
Mzee Gembe nimefurahi sana umerudi siku hii muhimu. Nilikumiss mshikaji.. harufu ya mabadiliko inanukia?
 
Me naanza suti yangu ya kuendea uwanja wa Taifa kwa ajili ya kumuapisha Dr Slaa...
 
Asante sana kwa matokeo ya kutia moyo.
 
Mzee Gembe nimefurahi sana umerudi siku hii muhimu. Nilikumiss mshikaji.. harufu ya mabadiliko inanukia?

Mkuu Mwanakijiji huu ndiyo wakati muafaka wa kuwaeleza wanachi matokeo sahihi..Ni kumkoma nyani giladi Mchana Kweupe..tupo pamoja..

Hata kikwete akishinda ila kuna ujumbe mzito umetumwa!
 
Nina mabegi siyatumii hapa, vipi nimpelekee JK??????
we ache tu kuna wasaidizi wake wanasema mzee kaanza kupaki mabegi yake, na ile ruzuku ya outfit allowance anayo mengi tu, ila kawaeleza familia mengine atakuja nayo riz, mirojo, hulfani, mama ataondoka nae yeye mwenyewe
 
Our second Republic is quietly being born.........................
 
chadema kwigolyaaaaa
 
jamani ZUMBE MKUU uko wapi uliahidi kilaji na mpaka sasa uko kimya
 
Ngoja kwanza, mi nadhani naota. Naomba kuuliza hivi aliyeulizwa swali la vitambulisho vya uraia akiwa ndiye waziri mwenye dhamana halafu akajibu kuwa swala hili lilianza kabla hajazaliwa tena kwa jeuri si ndio huyo au mwingine?

Yes he is the same same devil !
 
Yah, matokeo kwa idadi ya kura ndio muhimu, japo hatupingi matokeo aliyowasilisha huyu mdau wetu.
Mimi ni mara yangu ya kwanza kujiunga na JF, hivyo naomba nikusalimieni members nyote wa JF, "mu wazima nyote ndugu zanguni"?. mimi ni mzima sana.
 
karibu sana,na asante kwa kujitambulisha.lete matokeo huko uliko.
 
Jamani, nchi tumeshaichukua jamani
ukombozi huuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuoooooooooooooooooooooooo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…