Elections 2010 Masha adondoshwa Jimbo la Nyamagana; Wenje (Chadema) ashinda

Status
Not open for further replies.
Tumuombee father wetu wa karatu mungu amkabidhi funguo ya ikulu kwa dhati.
 

Wana hasira na Shibuda aliwaambia ukweli na alikuwa Chachu ndani ya Chama CCM muulizeni Ben Mkapa awaambie alivyokuwa akimuhaha akiwa akihoji kamati Kuu za CCM wakiwa wemekosea duu ni balaaa jamaaa yule na ndio maana mafisadi hawakumtaka kabisa

 
Richard Leo, anawasilisha masuala ya Mwanza, maelezo yake anadai wasimamizi wa jimbo la Nyamagana wametoa maelekezo kwa wasimamizi wasitoe matokeo ili isije ikaharibu hali ya usalama. Wadau, sijaelewa. Mwenye data tafadhali tumwagieni hapa.
 
Huko Buchosa Kaswahili wa Chadema anaongoza na amempeleka vibaya Dk. Tizeba
 

Washindwe hadi mwisho wa matokeo, wasiji kufufuka kwenye vituo vilivyobaki
 
Masha aliwa-under rate wasukuma. Ni kweli wanaonekana kama a sleeping giant, lakini nadhani angeangalia historia ya Paul Bomani angejua kwa hakika "wapush" (wasukuma) ni watu wa aina gani. Wamewahi kumpiga chini Bomani, tene siyo mara moja tu - mara mbili! Mara ya kwanza aliposhindwa na agricultural office aliyekuwa anaitwa Madila (I think it was in the late sixties or early seventies) na wakati ule wa Mabiti. Hiyo ingetosha kabisa kumwonyesha wao ni nani. Atakiona cha moto.
 
Richard Leo, anawasilisha masuala ya Mwanza, maelezo yake anadai wasimamizi wa jimbo la Nyamagana wametoa maelekezo kwa wasimamizi wasitoe matokeo ili isije ikaharibu hali ya usalama. Wadau, sijaelewa. Mwenye data tafadhali tumwagieni hapa.
Wilson Kabwe (msimamizi wa uchaguzi) tokea awali alishajionyesha ameegemea upande gani. Ila hili la kuzuia kutangazwa matokeo litamtokea puani. Asishindane na nguvu ya umma, jiji zima imeshafahamika Masha kaachwa mbali na ndio maana watu wanasherehekea
 
Mimeongea na Watu Kwenye Vituo Mwanza... Lau Anaelekea Kushindwa; Diallo anelekea kushida lakini madiwani wake wote Chadema
 
Huko Geita matokeo yameisha bandikwa vituo Saba ila wananchi wako mbali kutoka katika kituo kuhofia askari kwa kauli zao zile za kuwa raia wawe mbali M200 na mchuano ni mkali sana kati ya CHADEMA na CCM wanapishana alama chache sana
 
Confirmed !! Masha kaanguka vbaya nyamagana!!!!
 
Nilifanya makosa sikununua Serengeti za kutosha, hizi tatu zitanitosha mpaka asubuhi?
 
Khaaa Lau Masha hata Capri-Point Home wamekumwaga kweli yalaaaaaaaaaaa aibu hiiiiii jamani khaaaa jiranii umenivua nguo kweli wananchi walikuwa hawkutaki jamani kh
 
leta data no data no right to speak
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…