Elections 2010 Masha agoma kusaini matokeo.. Diallo amwagwa na Hiness wa CHADEMA

Elections 2010 Masha agoma kusaini matokeo.. Diallo amwagwa na Hiness wa CHADEMA

Taarifa kutoka Mwanza inasemekana kuwa Masha kakimbia Mji halafu katoa taarifa kuwa yuko Bugando Kama vipi wampelekee hayo makaburasha na asign huko huko, pia kwa taarfa zisizo rasmi kwamba Masha kakibilia DAR au kaja kusafisha safisha meza yake maaana Meli yake imesha zama kabisa.

Jamani mawakala wasiasi vyama vyao. SCAN or photograph all signed documents THROUGHOUT the country pls...
 
Muda si muda ataenda Marekani alikogundumuliwa na boss wake Jk.
 
Hatimaye kwa msaada wa EL batilda kapewa jimbo kwa 71% tetesi iliyo tokea ndani ila bado hawajatangaza mpka sasa.

Je huku kwetu Mwanza itakuwa kama huko Arusha ilivyokuwa au?? Nani kuja kuokoa jahazi la CCM nyamagana na Ilemela
 
Hatimaye kwa msaada wa EL batilda kapewa jimbo kwa 71% tetesi iliyo tokea ndani ila bado hawajatangaza mpka sasa.

Je huku kwetu Mwanza itakuwa kama huko Arusha ilivyokuwa au?? Nani kuja kuokoa jahazi la CCM nyamagana na Ilemela

Una uhakika? Habari za kukatisha tamaa kama hizi naomba tunapozitoa tuwe na uhakika nazo tafadhali.
 
Inamaana hata Jimbo lake halijatangazwa rami?? Hata Hapa Arusha Lema ameshinda kwa mujibu wa taarifa za awali lakini huwezikuamini hayajatangazwa rasmi, naamini wanajaribu kupindua mambo
 
Akafanye biashara siyo lazima hawe mwanasiasa!

Hawa jamaa hutumia vyeo vyao kisiasa kuficha madhambi ya biashara zao. Wengine hawalipi kodi kisahihi kwasababu hiyo, kwahiyo wanajua fika kuwa wakishadondoka ukwepaji wa kodi unakuwa haupo tena maana vijana wa TRA hawawaogopi tena.
 
Hatimaye kwa msaada wa EL batilda kapewa jimbo kwa 71% tetesi iliyo tokea ndani ila bado hawajatangaza mpka sasa.

Je huku kwetu Mwanza itakuwa kama huko Arusha ilivyokuwa au?? Nani kuja kuokoa jahazi la CCM nyamagana na Ilemela
Ok, sasa yale machafuko yaliyo tabiriwa yaja. Hakuna atakaye kubaliana na ushenzi kama huu. Hata wao hawatapona na wasidhani wanyonge ndio watakao tiana ngeu wenyewe kwa wenyewe. Naomba isiwe hivyo
 
JAMANI MWANZA BADO NI KITENDAWILI CCM HAWATAKI KULIACHIA JIMBO LA MASHA NADHANI KUNA SHINIKIZO ..:nono::nono::nono:
 
Wote waliopita wapya itabidi tuwape miaka mitano ya kuweka mambo yao sawa kisha watakuja kuomba miaka mingine DALA ya utekelezaji halafu wataomba mingine FIVE ya kuimarisha hayo yanayoitwa maendeleo,Watz mnashangilia nini tuulizeni wenzenu? CHANGING GORVERNMENT IS VERY EXPENSIVE U REAL DON'T KNOW DON'T BE FASTER U WILL REGRETE WITH YOUR CHOICE AND DISSAPPOINT THEM,KEEP IT IN YOU MIND YOU WILL TELL ME AFTER TWO YRS. CRYING NOT LAUGHING.:A S-baby: OR 😛eep: ALWAYS.


We don't mind let these thieves go away. Tunashindwa kuendelea kwasababu hizihizi za kuogopa mabadiliko.
 
Jimbo la Ilemela Dialo anaendeleaje jamani, mbona hatupati taarifa reliable? Tupatieni taarifa tafadhali.
 
Hawa nao hebu watuondolee kiwingu, wasaini wapishe wajapakazi! Walipoitumia *tv kuwahadaa wananchi vs upinzani walifikili yataisha hivihivi eeh???
 
Naomba hofu ya mungu iwe ndani ya wanaCCM wanaotaka kuchakachua matokeo ili kile ambacho mungu ameruhusu kitokee kwaajili ya mabadilko ya kweli ya Taifa letu yaweze kupatikana!
 
Kwa kweli tz limekuwa shamba la bibi kwa muda mrefu sana! Eh Mungu tunaomba utuhurumie kwa kutuokoa na mafisadi!!
 
wao wao ndo wanasema watu wakubali na kuyapokea matokeo kwa nini agome na anajua hatumpendi hata kidogo
masha hebu saini hayo matokeo utuondokee na mradi wako wa Vitambulisho..nakuchukia wewe na issue uliyomfanyia mtoto wa mwenye ferry ya kamanga .
Na ushindwe kwa jina la Yesu..
Na huyu Shekhe Yahaya achukuliwe hatua za unajimu feki

Najua hili limetoka moyoni! MUNGU ameliona hilo
Amen
 
Back
Top Bottom