Tetesi: Masha kumrithi Mbowe uenyekiti CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Too late, imeshajulikana tayari kuwa vifo vile vya wale watafiti vilihamasishwa na kauli zake.
Nasubiri bungeni nimsikie Halima Mdee akiuliza swali "serikali inachukua hatua gani kwa wabunge wanaowaambia wananchi kuwa watafiti ni wanyonya damu?"
Hapo utasikia hilo sio swali kaa chini!!
 
Hakuna kikaragosi yeyote CDM mwenye uwezo wa kumtoa Mbowe kwenye uenyekiti.

Mbowe ni Alpha na Omega kwenye uenyekiti.

Atatawala na ataendelea kutawala....yale macho yake yana uwezo wa kuona wanasiasa wenye mvuto kutoka CCM.

Mwaka 2020 ataleta usajili bora kabisa kutoka CCM na Lowasa atatoswa.

Na wanachama watapiga kura ya wazi ( kwa vidole.....japo kwenye BMK walishinikiza kura za siri) kutimiliza hitaji la Mbowe.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] honestly nimecheka sana.
 
Uchuro wa mchana! Poleni sana magamba! Baada ya plan A ( pandikizi la pro-pesa) kugonga mwamba, plan B ni kupandikiza fitina, chuki na shuku mbaya miongoni mwa viongozi wa chadema na ukawa kwa ujumla ili kudhoofisha upinzani. Plan B pia itashindwa! Sasa hivi pro-pesa amenasa kama panya anavyonasa kwenye mtego! Anajishangaa amejiingizaje kwenye mtego wa panya! Hakika njaa ni mbaya!
 
Hata kabla hatujafa, chadema ilishajifia! Kama unabisha mwambie Lisu amwite tena Lowasa fisadi, tena ampe namba kama wakati ule, alafu uone kama atakaa chadema masaa 12
😀😀😀 Watu mna utani mbaya na wa makusudi!
 
Masha kumrithi Mbowe uenyekiti CHADEMA.

Huu ndio ukweli japo mchungu, Mbowe utashukuriwa kwa kufanikisha yote hasa ujio na uratibu wa Lowassa kugombea uraisi lakini sasa ni wakati wenye nacho wanajipanga kufanya yao. Kuna mambo mawili ya kuchagua, aidha kuingia kwenye mchuano au kutangaza kuachia ngazi katika uchaguzi mkuu wa chama 2018 au 2019. Ni jambo moja tu ujue safu ya viongozi wa ngazi za chini kuanzia vijiji,mitaa,kata,wilaya,mikoa na Taifa ndani ya CHADEMA ambao kimsingi baadhi yao ndio wenye jukumu la kuchagua Mwenyekiti wa Taifa watatokana na kundi la marafiki wa Lowassa, watamsikiliza mkuu wao.

Kwanini Masha?
Ni msomi wa sheria na mwenye uzoefu wa kufanya kazi serikalini kama waziri mwandamizi na mwanasia na zaidi ndiye anayekubalika na TeamEL hususan waliokuja CHADEMA na hata wale wanaotafuta kimbilio la kisiasa baada ya mabadiliko ndani ya CCM kuwatupilia mbali kutokana na tuhuma mbalimbali.

Nini madhara endapo mpango huu ukifanikiwa?
Ni dhahiri wahafidhina wanaoishi kwa kuvumilia ujio wa EL kama akina Tundu,Mnyika,Mdee nk watafurukuta bila mafanikio na huenda safari hii Tundu akawa muhanga wa ‘katiba mbovu’ aliyoitunga ambayo itamnyima haki ya kwenda mahakamani na hivyo kuamua kutafuta mustakabali nje ya CHADEMA au kubaki kimya bila kitu.

Zitto na ACT kuibuka kidedea?
Huenda hoja ya ufisadi ikaibuka tena na mara hii majeruhi wapya wa siasa za Chadema wakimuona Zitto kama kimbilio huku wakieleza majuto kushirikiana na TeamEL ili angalau kupata umaarufu na huruma ya wananchi angalau kupata ubunge,udiwani nk. ‘katika siasa hakuna adui wa kudumu,wala rafiki wa kudumu’’ haya ndio maneno yatumiwayo na matapeli wa kisiasa ili kuficha aibu ya uovu wao waliotekeleza kweupe!.

Unaruhusiwa kufanya rejeo.
Dalili za CDM kufilisika hizo! Ngoja wachaguane tuwatoe knock out 2019
 
Waswahili wao uwa hawana tatizo hata Nyerere walimkarisha wakampa uongozi kisha akawageuka.
Waswahili hawana shida wanaachia muhula mmoja mikoani wanavurunda mwingine waswahili wanarudi kurekebisha
 
Masha kumrithi Mbowe uenyekiti CHADEMA.

Huu ndio ukweli japo mchungu, Mbowe utashukuriwa kwa kufanikisha yote hasa ujio na uratibu wa Lowassa kugombea uraisi lakini sasa ni wakati wenye nacho wanajipanga kufanya yao. Kuna mambo mawili ya kuchagua, aidha kuingia kwenye mchuano au kutangaza kuachia ngazi katika uchaguzi mkuu wa chama 2018 au 2019. Ni jambo moja tu ujue safu ya viongozi wa ngazi za chini kuanzia vijiji,mitaa,kata,wilaya,mikoa na Taifa ndani ya CHADEMA ambao kimsingi baadhi yao ndio wenye jukumu la kuchagua Mwenyekiti wa Taifa watatokana na kundi la marafiki wa Lowassa, watamsikiliza mkuu wao.

Kwanini Masha?
Ni msomi wa sheria na mwenye uzoefu wa kufanya kazi serikalini kama waziri mwandamizi na mwanasia na zaidi ndiye anayekubalika na TeamEL hususan waliokuja CHADEMA na hata wale wanaotafuta kimbilio la kisiasa baada ya mabadiliko ndani ya CCM kuwatupilia mbali kutokana na tuhuma mbalimbali.

Nini madhara endapo mpango huu ukifanikiwa?
Ni dhahiri wahafidhina wanaoishi kwa kuvumilia ujio wa EL kama akina Tundu,Mnyika,Mdee nk watafurukuta bila mafanikio na huenda safari hii Tundu akawa muhanga wa ‘katiba mbovu’ aliyoitunga ambayo itamnyima haki ya kwenda mahakamani na hivyo kuamua kutafuta mustakabali nje ya CHADEMA au kubaki kimya bila kitu.

Zitto na ACT kuibuka kidedea?
Huenda hoja ya ufisadi ikaibuka tena na mara hii majeruhi wapya wa siasa za Chadema wakimuona Zitto kama kimbilio huku wakieleza majuto kushirikiana na TeamEL ili angalau kupata umaarufu na huruma ya wananchi angalau kupata ubunge,udiwani nk. ‘katika siasa hakuna adui wa kudumu,wala rafiki wa kudumu’’ haya ndio maneno yatumiwayo na matapeli wa kisiasa ili kuficha aibu ya uovu wao waliotekeleza kweupe!.

Unaruhusiwa kufanya rejeo.

Lowassa alikinunua CHADEMA kwa bei kubwa sana. CHADEMA ni mali ya Lowassa. Ni kujidanganya na kujivua ufahamu kuamini kuwa Lowassa ana amani anapokaa meza moja na Mbowe au Lema au Tundu au Mnyika watu ambao walishamsema kwa maneno mabovu (japo ni ya kweli) na kuonyesha kuwa nchi imefika pabaya kiasi hiki kwa sababu ya wizi na ufisadi uliiongozwa na Lowassa.Ni hakika kwenye uchaguzi ujao kama Lowassa mwenyewe hatagombea uenyekiti basi atamweka mtu wake kama Masha. Hata Sumaye hana nafasi katika CHADEMA ya Lowassa. Hata hivyo sioni uwezekano wa kina Lissu kwenda kwa Zitto kwa sababu ni kweli kuwa huyu jamaa aliyeanzisha ACT alikuwa msaliti kiukweli kweli na alipata pesa ndefu sana kwa usaliti wake. Bahati yake mbaya serikali ya awamu hii bado haijamuajiri japo ana matumaini.
 
Masha kumrithi Mbowe uenyekiti CHADEMA.

Huu ndio ukweli japo mchungu, Mbowe utashukuriwa kwa kufanikisha yote hasa ujio na uratibu wa Lowassa kugombea uraisi lakini sasa ni wakati wenye nacho wanajipanga kufanya yao. Kuna mambo mawili ya kuchagua, aidha kuingia kwenye mchuano au kutangaza kuachia ngazi katika uchaguzi mkuu wa chama 2018 au 2019. Ni jambo moja tu ujue safu ya viongozi wa ngazi za chini kuanzia vijiji,mitaa,kata,wilaya,mikoa na Taifa ndani ya CHADEMA ambao kimsingi baadhi yao ndio wenye jukumu la kuchagua Mwenyekiti wa Taifa watatokana na kundi la marafiki wa Lowassa, watamsikiliza mkuu wao.

Kwanini Masha?
Ni msomi wa sheria na mwenye uzoefu wa kufanya kazi serikalini kama waziri mwandamizi na mwanasia na zaidi ndiye anayekubalika na TeamEL hususan waliokuja CHADEMA na hata wale wanaotafuta kimbilio la kisiasa baada ya mabadiliko ndani ya CCM kuwatupilia mbali kutokana na tuhuma mbalimbali.

Nini madhara endapo mpango huu ukifanikiwa?
Ni dhahiri wahafidhina wanaoishi kwa kuvumilia ujio wa EL kama akina Tundu,Mnyika,Mdee nk watafurukuta bila mafanikio na huenda safari hii Tundu akawa muhanga wa ‘katiba mbovu’ aliyoitunga ambayo itamnyima haki ya kwenda mahakamani na hivyo kuamua kutafuta mustakabali nje ya CHADEMA au kubaki kimya bila kitu.

Zitto na ACT kuibuka kidedea?
Huenda hoja ya ufisadi ikaibuka tena na mara hii majeruhi wapya wa siasa za Chadema wakimuona Zitto kama kimbilio huku wakieleza majuto kushirikiana na TeamEL ili angalau kupata umaarufu na huruma ya wananchi angalau kupata ubunge,udiwani nk. ‘katika siasa hakuna adui wa kudumu,wala rafiki wa kudumu’’ haya ndio maneno yatumiwayo na matapeli wa kisiasa ili kuficha aibu ya uovu wao waliotekeleza kweupe!.

Unaruhusiwa kufanya rejeo.
MASHA ANA FEUTURE ZINAZOENDANA NA MBOWE..WOTE NI WANA UMRI WA UTU UZIMA LAKINI BADO WANAKUBALIKA NA VIJANA ..NA WANA HULKA ZA UJANA ...WOTE NI WASOMI...ILA MASHA NI MSOMI ZAIDI.....WOTE NI WASEMAJI WAZURI .....WOTE SIO WATU WENYE DHIKI ZA MAISHA HAWAWEZI KUNUNULIKA KWA DHIKI YA PESA....WANATOKA FAMILIA ZENYE UHUSIANO NA SIASA ZA MWANZO ZA TANGANYIKA
WOTE WANAAMINI KWENYE SIASA ZA UCHUMI WA SOKO ...NA WANASIASA ZA VUGUVUGU AU LIBERAL

NAAMINI LAWRENCE MASHA ANA UWEZO WA KUMRIDHI MBOWE .......
 
Hizi mambo zinaanzaga hivi hivi ...akiba ya maneno muhimu ....hizi gia za angani hizi ....
 
Naona umeamua kudhihirisha kama watanzania tunatumia 1% ya bongo zetu
 
Chadema ikipona kwenye uchaguzi wao wa ndani, haitavunjika tena!Lakini sioni kama watapita salama, maana yale mapapa yamekaa kwao na waliokipigania chama awali wanaishiwa pumzi taratibu huku wengine wakiamua ku-mute kabisa

Endelea kupiga Ramli
 
MASHA ANA FEUTURE ZINAZOENDANA NA MBOWE..WOTE NI WANA UMRI WA UTU UZIMA LAKINI BADO WANAKUBALIKA NA VIJANA ..NA WANA HULKA ZA UJANA ...WOTE NI WASOMI...ILA MASHA NI MSOMI ZAIDI.....WOTE NI WASEMAJI WAZURI .....WOTE SIO WATU WENYE DHIKI ZA MAISHA HAWAWEZI KUNUNULIKA KWA DHIKI YA PESA....WANATOKA FAMILIA ZENYE UHUSIANO NA SIASA ZA MWANZO ZA TANGANYIKA
WOTE WANAAMINI KWENYE SIASA ZA UCHUMI WA SOKO ...NA WANASIASA ZA VUGUVUGU AU LIBERAL

NAAMINI LAWRENCE MASHA ANA UWEZO WA KUMRIDHI MBOWE .......
Mbowe si msomi!
 
Masha kumrithi Mbowe uenyekiti CHADEMA.

Huu ndio ukweli japo mchungu, Mbowe utashukuriwa kwa kufanikisha yote hasa ujio na uratibu wa Lowassa kugombea uraisi lakini sasa ni wakati wenye nacho wanajipanga kufanya yao. Kuna mambo mawili ya kuchagua, aidha kuingia kwenye mchuano au kutangaza kuachia ngazi katika uchaguzi mkuu wa chama 2018 au 2019. Ni jambo moja tu ujue safu ya viongozi wa ngazi za chini kuanzia vijiji,mitaa,kata,wilaya,mikoa na Taifa ndani ya CHADEMA ambao kimsingi baadhi yao ndio wenye jukumu la kuchagua Mwenyekiti wa Taifa watatokana na kundi la marafiki wa Lowassa, watamsikiliza mkuu wao.

Kwanini Masha?
Ni msomi wa sheria na mwenye uzoefu wa kufanya kazi serikalini kama waziri mwandamizi na mwanasia na zaidi ndiye anayekubalika na TeamEL hususan waliokuja CHADEMA na hata wale wanaotafuta kimbilio la kisiasa baada ya mabadiliko ndani ya CCM kuwatupilia mbali kutokana na tuhuma mbalimbali.

Nini madhara endapo mpango huu ukifanikiwa?
Ni dhahiri wahafidhina wanaoishi kwa kuvumilia ujio wa EL kama akina Tundu,Mnyika,Mdee nk watafurukuta bila mafanikio na huenda safari hii Tundu akawa muhanga wa ‘katiba mbovu’ aliyoitunga ambayo itamnyima haki ya kwenda mahakamani na hivyo kuamua kutafuta mustakabali nje ya CHADEMA au kubaki kimya bila kitu.

Zitto na ACT kuibuka kidedea?
Huenda hoja ya ufisadi ikaibuka tena na mara hii majeruhi wapya wa siasa za Chadema wakimuona Zitto kama kimbilio huku wakieleza majuto kushirikiana na TeamEL ili angalau kupata umaarufu na huruma ya wananchi angalau kupata ubunge,udiwani nk. ‘katika siasa hakuna adui wa kudumu,wala rafiki wa kudumu’’ haya ndio maneno yatumiwayo na matapeli wa kisiasa ili kuficha aibu ya uovu wao waliotekeleza kweupe!.

Unaruhusiwa kufanya rejeo.
Ni ukweli mtupu na ndo mwisho wa CHADEMA pale mtaa wa ufipa! KUBENEA atafungishwa virago, mnyika atatafuta uelekeo, Lema atarudi TLP, MSIGWA atarudi kwa mungu na Lissu atarudi kwenye kazi yake aliyokuwa akiifanya Arusha
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom