Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Hapo utasikia hilo sio swali kaa chini!!Too late, imeshajulikana tayari kuwa vifo vile vya wale watafiti vilihamasishwa na kauli zake.
Nasubiri bungeni nimsikie Halima Mdee akiuliza swali "serikali inachukua hatua gani kwa wabunge wanaowaambia wananchi kuwa watafiti ni wanyonya damu?"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] honestly nimecheka sana.Hakuna kikaragosi yeyote CDM mwenye uwezo wa kumtoa Mbowe kwenye uenyekiti.
Mbowe ni Alpha na Omega kwenye uenyekiti.
Atatawala na ataendelea kutawala....yale macho yake yana uwezo wa kuona wanasiasa wenye mvuto kutoka CCM.
Mwaka 2020 ataleta usajili bora kabisa kutoka CCM na Lowasa atatoswa.
Na wanachama watapiga kura ya wazi ( kwa vidole.....japo kwenye BMK walishinikiza kura za siri) kutimiliza hitaji la Mbowe.
Waswahili wao uwa hawana tatizo hata Nyerere walimkarisha wakampa uongozi kisha akawageuka.Mbona waswahili wameachia kwa ngosha, acha kaskazi nao wampe Masha maana hakuna namna CUF nao watampa Magdalena ili chama kiimarike
😀😀😀 Watu mna utani mbaya na wa makusudi!Hata kabla hatujafa, chadema ilishajifia! Kama unabisha mwambie Lisu amwite tena Lowasa fisadi, tena ampe namba kama wakati ule, alafu uone kama atakaa chadema masaa 12
Rubbish thread.
Dalili za CDM kufilisika hizo! Ngoja wachaguane tuwatoe knock out 2019Masha kumrithi Mbowe uenyekiti CHADEMA.
Huu ndio ukweli japo mchungu, Mbowe utashukuriwa kwa kufanikisha yote hasa ujio na uratibu wa Lowassa kugombea uraisi lakini sasa ni wakati wenye nacho wanajipanga kufanya yao. Kuna mambo mawili ya kuchagua, aidha kuingia kwenye mchuano au kutangaza kuachia ngazi katika uchaguzi mkuu wa chama 2018 au 2019. Ni jambo moja tu ujue safu ya viongozi wa ngazi za chini kuanzia vijiji,mitaa,kata,wilaya,mikoa na Taifa ndani ya CHADEMA ambao kimsingi baadhi yao ndio wenye jukumu la kuchagua Mwenyekiti wa Taifa watatokana na kundi la marafiki wa Lowassa, watamsikiliza mkuu wao.
Kwanini Masha?
Ni msomi wa sheria na mwenye uzoefu wa kufanya kazi serikalini kama waziri mwandamizi na mwanasia na zaidi ndiye anayekubalika na TeamEL hususan waliokuja CHADEMA na hata wale wanaotafuta kimbilio la kisiasa baada ya mabadiliko ndani ya CCM kuwatupilia mbali kutokana na tuhuma mbalimbali.
Nini madhara endapo mpango huu ukifanikiwa?
Ni dhahiri wahafidhina wanaoishi kwa kuvumilia ujio wa EL kama akina Tundu,Mnyika,Mdee nk watafurukuta bila mafanikio na huenda safari hii Tundu akawa muhanga wa ‘katiba mbovu’ aliyoitunga ambayo itamnyima haki ya kwenda mahakamani na hivyo kuamua kutafuta mustakabali nje ya CHADEMA au kubaki kimya bila kitu.
Zitto na ACT kuibuka kidedea?
Huenda hoja ya ufisadi ikaibuka tena na mara hii majeruhi wapya wa siasa za Chadema wakimuona Zitto kama kimbilio huku wakieleza majuto kushirikiana na TeamEL ili angalau kupata umaarufu na huruma ya wananchi angalau kupata ubunge,udiwani nk. ‘katika siasa hakuna adui wa kudumu,wala rafiki wa kudumu’’ haya ndio maneno yatumiwayo na matapeli wa kisiasa ili kuficha aibu ya uovu wao waliotekeleza kweupe!.
Unaruhusiwa kufanya rejeo.
Waswahili hawana shida wanaachia muhula mmoja mikoani wanavurunda mwingine waswahili wanarudi kurekebishaWaswahili wao uwa hawana tatizo hata Nyerere walimkarisha wakampa uongozi kisha akawageuka.
Masha kumrithi Mbowe uenyekiti CHADEMA.
Huu ndio ukweli japo mchungu, Mbowe utashukuriwa kwa kufanikisha yote hasa ujio na uratibu wa Lowassa kugombea uraisi lakini sasa ni wakati wenye nacho wanajipanga kufanya yao. Kuna mambo mawili ya kuchagua, aidha kuingia kwenye mchuano au kutangaza kuachia ngazi katika uchaguzi mkuu wa chama 2018 au 2019. Ni jambo moja tu ujue safu ya viongozi wa ngazi za chini kuanzia vijiji,mitaa,kata,wilaya,mikoa na Taifa ndani ya CHADEMA ambao kimsingi baadhi yao ndio wenye jukumu la kuchagua Mwenyekiti wa Taifa watatokana na kundi la marafiki wa Lowassa, watamsikiliza mkuu wao.
Kwanini Masha?
Ni msomi wa sheria na mwenye uzoefu wa kufanya kazi serikalini kama waziri mwandamizi na mwanasia na zaidi ndiye anayekubalika na TeamEL hususan waliokuja CHADEMA na hata wale wanaotafuta kimbilio la kisiasa baada ya mabadiliko ndani ya CCM kuwatupilia mbali kutokana na tuhuma mbalimbali.
Nini madhara endapo mpango huu ukifanikiwa?
Ni dhahiri wahafidhina wanaoishi kwa kuvumilia ujio wa EL kama akina Tundu,Mnyika,Mdee nk watafurukuta bila mafanikio na huenda safari hii Tundu akawa muhanga wa ‘katiba mbovu’ aliyoitunga ambayo itamnyima haki ya kwenda mahakamani na hivyo kuamua kutafuta mustakabali nje ya CHADEMA au kubaki kimya bila kitu.
Zitto na ACT kuibuka kidedea?
Huenda hoja ya ufisadi ikaibuka tena na mara hii majeruhi wapya wa siasa za Chadema wakimuona Zitto kama kimbilio huku wakieleza majuto kushirikiana na TeamEL ili angalau kupata umaarufu na huruma ya wananchi angalau kupata ubunge,udiwani nk. ‘katika siasa hakuna adui wa kudumu,wala rafiki wa kudumu’’ haya ndio maneno yatumiwayo na matapeli wa kisiasa ili kuficha aibu ya uovu wao waliotekeleza kweupe!.
Unaruhusiwa kufanya rejeo.
MASHA ANA FEUTURE ZINAZOENDANA NA MBOWE..WOTE NI WANA UMRI WA UTU UZIMA LAKINI BADO WANAKUBALIKA NA VIJANA ..NA WANA HULKA ZA UJANA ...WOTE NI WASOMI...ILA MASHA NI MSOMI ZAIDI.....WOTE NI WASEMAJI WAZURI .....WOTE SIO WATU WENYE DHIKI ZA MAISHA HAWAWEZI KUNUNULIKA KWA DHIKI YA PESA....WANATOKA FAMILIA ZENYE UHUSIANO NA SIASA ZA MWANZO ZA TANGANYIKAMasha kumrithi Mbowe uenyekiti CHADEMA.
Huu ndio ukweli japo mchungu, Mbowe utashukuriwa kwa kufanikisha yote hasa ujio na uratibu wa Lowassa kugombea uraisi lakini sasa ni wakati wenye nacho wanajipanga kufanya yao. Kuna mambo mawili ya kuchagua, aidha kuingia kwenye mchuano au kutangaza kuachia ngazi katika uchaguzi mkuu wa chama 2018 au 2019. Ni jambo moja tu ujue safu ya viongozi wa ngazi za chini kuanzia vijiji,mitaa,kata,wilaya,mikoa na Taifa ndani ya CHADEMA ambao kimsingi baadhi yao ndio wenye jukumu la kuchagua Mwenyekiti wa Taifa watatokana na kundi la marafiki wa Lowassa, watamsikiliza mkuu wao.
Kwanini Masha?
Ni msomi wa sheria na mwenye uzoefu wa kufanya kazi serikalini kama waziri mwandamizi na mwanasia na zaidi ndiye anayekubalika na TeamEL hususan waliokuja CHADEMA na hata wale wanaotafuta kimbilio la kisiasa baada ya mabadiliko ndani ya CCM kuwatupilia mbali kutokana na tuhuma mbalimbali.
Nini madhara endapo mpango huu ukifanikiwa?
Ni dhahiri wahafidhina wanaoishi kwa kuvumilia ujio wa EL kama akina Tundu,Mnyika,Mdee nk watafurukuta bila mafanikio na huenda safari hii Tundu akawa muhanga wa ‘katiba mbovu’ aliyoitunga ambayo itamnyima haki ya kwenda mahakamani na hivyo kuamua kutafuta mustakabali nje ya CHADEMA au kubaki kimya bila kitu.
Zitto na ACT kuibuka kidedea?
Huenda hoja ya ufisadi ikaibuka tena na mara hii majeruhi wapya wa siasa za Chadema wakimuona Zitto kama kimbilio huku wakieleza majuto kushirikiana na TeamEL ili angalau kupata umaarufu na huruma ya wananchi angalau kupata ubunge,udiwani nk. ‘katika siasa hakuna adui wa kudumu,wala rafiki wa kudumu’’ haya ndio maneno yatumiwayo na matapeli wa kisiasa ili kuficha aibu ya uovu wao waliotekeleza kweupe!.
Unaruhusiwa kufanya rejeo.
JF imevamiwa na wapiga ramli na watengeneza radi feki.Twambie serikali yenu ya viwanda hewa imekwama wapi?
Baelezeeeeee!Nchi hii kuja kutawaliwa na upinzani ni baada ya miaka 2000 ijayo.
Ahsante kwa Utabiri Feki usio na Mashiko,
Naona unawania mikoba ya Sheikh Yahya
Naona umeamua kudhihirisha kama watanzania tunatumia 1% ya bongo zetuMasha kumrithi Mbowe uenyekiti CHADEMA.
Huu ndio ukweli japo mchungu, Mbowe utashukuriwa kwa kufanikisha yote hasa ujio na uratibu wa Lowassa kugombea uraisi lakini sasa ni wakati wenye nacho wanajipanga kufanya yao. Kuna mambo mawili ya kuchagua, aidha kuingia kwenye mchuano au kutangaza kuachia ngazi katika uchaguzi mkuu wa chama 2018 au 2019. Ni jambo moja tu ujue safu ya viongozi wa ngazi za chini kuanzia vijiji,mitaa,kata,wilaya,mikoa na Taifa ndani ya CHADEMA ambao kimsingi baadhi yao ndio wenye jukumu la kuchagua Mwenyekiti wa Taifa watatokana na kundi la marafiki wa Lowassa, watamsikiliza mkuu wao.
Kwanini Masha?
Ni msomi wa sheria na mwenye uzoefu wa kufanya kazi serikalini kama waziri mwandamizi na mwanasia na zaidi ndiye anayekubalika na TeamEL hususan waliokuja CHADEMA na hata wale wanaotafuta kimbilio la kisiasa baada ya mabadiliko ndani ya CCM kuwatupilia mbali kutokana na tuhuma mbalimbali.
Nini madhara endapo mpango huu ukifanikiwa?
Ni dhahiri wahafidhina wanaoishi kwa kuvumilia ujio wa EL kama akina Tundu,Mnyika,Mdee nk watafurukuta bila mafanikio na huenda safari hii Tundu akawa muhanga wa ‘katiba mbovu’ aliyoitunga ambayo itamnyima haki ya kwenda mahakamani na hivyo kuamua kutafuta mustakabali nje ya CHADEMA au kubaki kimya bila kitu.
Zitto na ACT kuibuka kidedea?
Huenda hoja ya ufisadi ikaibuka tena na mara hii majeruhi wapya wa siasa za Chadema wakimuona Zitto kama kimbilio huku wakieleza majuto kushirikiana na TeamEL ili angalau kupata umaarufu na huruma ya wananchi angalau kupata ubunge,udiwani nk. ‘katika siasa hakuna adui wa kudumu,wala rafiki wa kudumu’’ haya ndio maneno yatumiwayo na matapeli wa kisiasa ili kuficha aibu ya uovu wao waliotekeleza kweupe!.
Unaruhusiwa kufanya rejeo.
Chadema ikipona kwenye uchaguzi wao wa ndani, haitavunjika tena!Lakini sioni kama watapita salama, maana yale mapapa yamekaa kwao na waliokipigania chama awali wanaishiwa pumzi taratibu huku wengine wakiamua ku-mute kabisa
Kijana...kwa bahati nzuri mambo ya chadema yote huelezwa JF hata kabla ya miaka mitano...rejea ujio wa Lowassa.Endelea kupiga Ramli
Mbowe si msomi!MASHA ANA FEUTURE ZINAZOENDANA NA MBOWE..WOTE NI WANA UMRI WA UTU UZIMA LAKINI BADO WANAKUBALIKA NA VIJANA ..NA WANA HULKA ZA UJANA ...WOTE NI WASOMI...ILA MASHA NI MSOMI ZAIDI.....WOTE NI WASEMAJI WAZURI .....WOTE SIO WATU WENYE DHIKI ZA MAISHA HAWAWEZI KUNUNULIKA KWA DHIKI YA PESA....WANATOKA FAMILIA ZENYE UHUSIANO NA SIASA ZA MWANZO ZA TANGANYIKA
WOTE WANAAMINI KWENYE SIASA ZA UCHUMI WA SOKO ...NA WANASIASA ZA VUGUVUGU AU LIBERAL
NAAMINI LAWRENCE MASHA ANA UWEZO WA KUMRIDHI MBOWE .......
Ni ukweli mtupu na ndo mwisho wa CHADEMA pale mtaa wa ufipa! KUBENEA atafungishwa virago, mnyika atatafuta uelekeo, Lema atarudi TLP, MSIGWA atarudi kwa mungu na Lissu atarudi kwenye kazi yake aliyokuwa akiifanya ArushaMasha kumrithi Mbowe uenyekiti CHADEMA.