Huyu bwana nilimuona Cape Ton majuzi kwenye maonesho ya mkutano wa masuala ya madini Africa....alikuwa ana-lobby wawekezaji wanataka kuja Tanzania kuitumia kampuni yake ya sheria ili kurahisisha shughuli zao. Hilo kwangu halikuwa tatizo kwani ni suala la biashara zake na kila mjasilimia analifanya.
Alichonikera ni kudanganya kwamba ameamua kuacha siasa kwani alikuwa anapoteza muda mwingi bila tija na kushindwa kufanya miradi yake. Jingine alikuwa anajitangaza kuwa " I have connections to the inner circle of government decision making"......hapa ni uccm wake na urafiki wake na wakuru!!!!!!!
Chalii amekua mvuvi mvivu afu anakula ganja mbaya kabisa ntakutumia picha yake.
Jamani napenda kujua huyu mwanasi-hasa aliyefulia hivi sasa yuko wapi na anafanya nini?
na mie nataka hiyo picha, au kama vipi itupie hapahapaChalii amekua mvuvi mvivu afu anakula ganja mbaya kabisa ntakutumia picha yake.
kijiweni kwake rose garden umecheki ukamkosa?
I see!!!!Ana nyumba Dubai na Cape town na hotel zake huko! Ubunge ilikua ni kujitafutia tu uhalali wa kufanya mambo yake yaende vizuri kisiasa!
Au ndio yuko busy na IMMA ADVOCATESkabadilisha kijiwe sikuizi.....mcheki maeneo ya bahari beach....anagambeka kwa kwenda mbele!