Masha Lawrence yu wapi wadau?

Masha Lawrence yu wapi wadau?

Mwacheni apumzike jamani kipigo kile hakikuwa cha kawaida na hakukitegemea
 

Attachments

  • wenje vs lau.jpg
    wenje vs lau.jpg
    38.9 KB · Views: 68
cku hizi anakunywa bia hiltek kule banana anakwepa majungu ya mjini anavodai
 
Huyu bwana nilimuona Cape Ton majuzi kwenye maonesho ya mkutano wa masuala ya madini Africa....alikuwa ana-lobby wawekezaji wanataka kuja Tanzania kuitumia kampuni yake ya sheria ili kurahisisha shughuli zao. Hilo kwangu halikuwa tatizo kwani ni suala la biashara zake na kila mjasilimia analifanya.

Alichonikera ni kudanganya kwamba ameamua kuacha siasa kwani alikuwa anapoteza muda mwingi bila tija na kushindwa kufanya miradi yake. Jingine alikuwa anajitangaza kuwa " I have connections to the inner circle of government decision making"......hapa ni uccm wake na urafiki wake na wakuru!!!!!!!

Anaendelea kuzichota kupitia mikataba mibovu. Siku za karibuni kuna article itatoka mahala "Masha aendeleza ufisadi kama wakili kwa kusign mikataba mibovu" 10% anatengeneza kwa sana tu. Tz. bado tumelala amini msiamini. Msg.sent.
 
..yupo kwenye kampuni yake, anasubiri Ukuu wa Mkoa!ndo nchi yetu ilivyo!...
 
Chalii amekua mvuvi mvivu afu anakula ganja mbaya kabisa ntakutumia picha yake.
 
Wezi utawajua tu......baada ya kukosa ubunge kakaa kimya utadhani alikua mgombea binafsi.....hadi chama kakichukia.
 
Ana nyumba Dubai na Cape town na hotel zake huko! Ubunge ilikua ni kujitafutia tu uhalali wa kufanya mambo yake yaende vizuri kisiasa!
 
Choka mbaya,,,,,Amepanga kwa Mbunge wake wa jimbo la Nyamagana (Wenje),,,anajipanga kugombea u rais 2015:love::love::love::disapointed::help:
 
Wamekuwa marafiki na mshindwa mwenzie Anthony D. wako pamoko buhongwa.
 
Back
Top Bottom