Masha yuko Njema sana


Mie Kicheko mbaya Kabisa
 
Mie Kicheko mbaya Kabisa
Bro, mbona hakuna kinachochekesha hatab kidogo hapo? wee kicheko mbaya kabisa ni ya wendawazimu au? Mind your own business otherwise Im going to whoop your a..
 
bange hizi,zinamfaa yeye mwenyewe.......
Najua vijana wengi wangetamani kuwa kama this one dude, ila hawawezi wanaishia just kuwa "Masha wanna be" work hard folks. This dude hata baada ya kukosa ubunge ame prove to the world kwamba he can make it and he does. Anawakilisha Gov katika kupitia mikataba yenye tija mingi tu na companies mbalimbali za nje acha hizi za local ambazo ameamua ku step away from them. Ni mfano w KUIGWA wa kutokata tamaa
 
haya mambo kawaeleze wananchi wa nyamagana waliofanya maamuzi ya kishujaa na cio hapa, kama wasipokufanya kama mch. mtikila kule tarime. pili hayo ni maisha yake binafsi cc hayatuhusu.
 
Kudadek... Kweli JF siyo ya kupost thread kwa kukurupuka, JIPANGE! What sex are you Mr/Miss Salimia, you must be Mr in WORST CASE SENARIO!
Mbona unauliza, unajijibu mwenyewe tena dada?? Halafu ulichoshangaa ni kipi hapo mpaka useme jipange? neno makalio ndiyo linakusismua?? What an idiot
 

Mkuu if you are serious... Acha... You are fighting a loosing battle..., hakuna mtu anayeangalia facts na haki anaweza kumtetea huyu jamaa..., yaani position aliyokuwa nayo na Ubunge aliokuwa nao kwa kipindi chote pale nyamagana atakumbukwa kama mtu ambae hakuleta mafananikio yoyote na aliondoka na vitasa vya ofisi...

Unless kama unamaanisha Masha Senior..., huyu he was a better politician
 

Salimia

Sasa nimeanza kuhoji maneno yako. Who are you and in what capacity unamdefend Kaka Masha? Au unatest reaction ya wadau juu ya Kaka Masha? Kama ni hivyo, endelea.....Lakini usije ukawa disappointed! Kaka Masha katika kipindi chake cha Ubunge na Uwaziri, hakuweza kuprove competence yake badala ya ubishororo......Ninawajua baadhi ya maofisa wa Wizara ya Mambo ya Ndani, ukiacha wapiga kura wa Nyamagana waliosherehekea kushindwa kwa Kaka Masha.
 
Tuwe wakweli kidogo. Si kwamba hajafanya kitu kabisa, yapo alofanya. Ile shule ya sekondari kule Nyegezi yote gharama zake, ukarabati Bugando na Sekoture. Kafanya mengi ila basi tu labda mleta mada amechafua hali ya hewa
 
kuna thread moja inayomhusu wenje imeletwa na huyu mleta hii mada.......inavyoonekana huyu si mwingine bali ni yeye mwenyewe
 
Smile ya Masha, unatueleza sisi kama unapenda si umwambie apeleke posa nyumbani kwenu!
 
Hili nalo neno jama!!!
 
Mbona unauliza, unajijibu mwenyewe tena dada?? Halafu ulichoshangaa ni kipi hapo mpaka useme jipange? neno makalio ndiyo linakusismua?? What an idiot
Somebody told me two wrongs don't make it right, so I'll choose to save my energy!
 
Ulipokuwa unaandika hii thread alikuwa anakushika sehemu gani ya mwili?
Camaraderie you are not serious! Ndo kusema sehemu alokuwa anashikwa pana uhusiano wa moja wa moja na kiwango cha kufikiri cha mtoa hoja! Jf kiboko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…