sekulu
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 988
- 158
Salimia,
Nani kakwambia unaishi vizuri kwa kuwa na majumba na magari? Japo sina uhakika, lakini ninadhani Kaka Masha yuko very frustrated kwa kukosa power, recognition na esteem. Kutoka Uwaziri wa Mambo ya Ndani (Wizara Nyeti sana!) to a mare citizen, lazima binadamu yeyote wa kawaida utaifeel tu. Kwa sababu Kaka Masha ni kijana mwenye smile always, huwezi jua maumivu aliyonayo moyoni hasahasa anapomuona Mh. Wenje akiwasilisha pale Mjengoni.....
Ikumbukwe pia, Kaka Masha aliishaanza speed ya Urais wa 2015 kwa kukosa kiti cha Ubunge cha Nyamagana amekosa platform ya kutimiza azma yake!
Ninawasilisha!
Mie Kicheko mbaya Kabisa