JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Mmmh huyo jamaa si alipigwa na Deontay Wilder pambano la kwanza? Kabla ya rematch ya na pambano la tatu? Kwanini useme hajawahi kupigwa?
Bora hata kuangalia pambano la Mandonga kuliko hiloHalikuwa pambano lakusisimua
Walitoka sareMmmh huyo jamaa si alipigwa na Deontay Wilder pambano la kwanza? Kabla ya rematch ya na pambano la tatu? Kwanini useme hajawahi kupigwa?
Hakupigwa, walitoka sare.Mmmh huyo jamaa si alipigwa na Deontay Wilder pambano la kwanza? Kabla ya rematch ya na pambano la tatu? Kwanini useme hajawahi kupigwa?