Mashabiki Kenya wafanya vurugu, mechi ya kufuzu AFCON yasimamishwa

Mashabiki Kenya wafanya vurugu, mechi ya kufuzu AFCON yasimamishwa

Kwa nini Watanzania hamtupendi Wakenya wakati wote tuko kwa region moja?

At watanzania hawapatian upendo na wakenya! Hapo Sio sawa.

Ile maneno washabiki nafanya kwa uwanja sio muzuri bwana. Kama oficials hakutenda haki nimfuate sheria za soccer.

Sisi tuko kwa East Afrika tunawapenda wakenya....sasa kwanini kufanya vurugu?

Laazima tufanye heshima kwa wageni hapo sasa ndo tutaheshimika.
 
Hayo ndiyo mambo ya UTANI WA JADI KATI YA TAIFA NA TAIFA usisikitike sanaaa, ndiyooo hivyooo YALISHATOKEAAA!
 
Wakenya football waachieni wenye maskills yakutosha.....ninyi nendeni marathon na kwenye vilabu vya gongo ndio kazi yenu
 
Mnashindwa mpira
Mnakimbilia vurugu!!
Hawa nao wamerogwa
 
Back
Top Bottom