Unauhakika gani kama sisi hatuwapendi nyinyi?Kwa nini Watanzania hamtupendi Wakenya wakati wote tuko kwa region moja?
Kwa nini Watanzania hamtupendi Wakenya wakati wote tuko kwa region moja?
Wanakwambia nchi ya kitu kidogo.Kila mtu ni mjanja sasa hivi
Poleni sana ila bado kwenye Bomba la Mafuta nako msipoangalia mtafungwa!
Kwa nini Watanzania hamtupendi Wakenya wakati wote tuko kwa region moja?