Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
Mfano mdogo tu, mashabiki wa Yanga wiki tatu zilizopita kabla ya kufuzu confederation cup walikuwa tayari wameshamkataa Nabi, na wengi wao walikuwa tayari Nabi angefukuzwa just kama angeshindwa kufuzi.
Leo hii Yanga imefuzi wametulia kabisa wanafurahia pia na matokeo wanayopata sasa, hawana shida tena na kocha.. 'Kocha mzuri kabisa'
Upuuzi wa hali ya juu
Ukija kwa Simba na Mgunda ... mpaka sasa Mgunda ana 100% win rate kwenye champions league.
Kwenye league ya ndani.. baada ya kufungwa na Azam na kutoa draw kama mechi 2 basi tayari anaonekana hafai. Huu ni ujinga wa hali ya juu.
Technically kwa mtu unayejua mpira, ukiiangalia Simba ya Mgunda kwa sasahivi inacheza mpira ambao unaonekana ni wa mipango. Angalia pia kwenye mechi ya Yanga, performance ilikuwa ni nzuri.
Mashabiki nyie ndo waharibifu wa mpira Tanzania. Simba na Yanga zipo vizuri kwa sasa na pia ligi yetu imekuwa ni ya ushindani sana. Ikitokea Yanga au Simba anapata sare au hata kufungwa sio kwamba eti ndo kocha afukuzwe.
Na kama viongozi wakiingia kwenye mtego wa kuridhisha hisia za mashabiki kila mara timu ikikosa matokeo, watajikuta wanaharibu zaidi kuliko kujenga.
Mbona hata Man City anafungwa na vitimu vya ajabu saa nyingine na hausikii mashabiki wanataka kocha afukuzwe....
Mashabiki lia lia wa Tanzania mnakera sana