Baba Kisarii
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 1,844
- 3,089
Hao mashabiki huibuka muda wowote pale wanapotupiwa jero ya maji na wanatesa mjini kwa sababu ya ujinga wa wajinga hao.
Hao wajinga utawakuta msimbazi ila kwa wingi wao wapo pale jangwani.
Wamejaa ujinga mtupu, kwa sasa wako na ujinga wa kijinga kukomalia kuchamba neno Sanda lililopo kwenye jezi mpya ya Simba.
Mbaya zaidi hao wachambaji wajinga wanachamba neno Sanda huku wakiwa wamevaa jezi zilizoandikwa neno Fila 😁, na wamezivaa miaka nenda rudi, tangu utotoni hadi leo wamekuwa wazee(sijui kama wamewahi kufanyiwa kitendo kama hicho)
Ninajiuliza hawa mashabiki njaa waliokosa afya ya akili ni zao la nani na wataacha lini ujinga. Bado sijapata jibu.
#Ubaya Ubwela