OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
- Thread starter
-
- #21
mchezaji mzuri unamuona siku moja tu. anaweza asiwe vizuri wakati wote lakini ukweli unabaki pale kwamba ni mchezaji mzuri. kwa mtu anayejua mpira aliweza kumuona BM siku ya kwanza tu kuwa huyu jamaa ni chuma,hivyo hivyo kwa Miqussonne.Weka akiba ya maneno muda bado
Kiwango cha Bwalya nilivyomwona ni cha kawaida sana.
Labda abadilike huko mbeleni, uwezo wake upo katika kupiga pasi tu.
Vyenga vyake ni vya furahisha jukwaa tu na havina madhara.
Anatakiwa apige chenga huku anaeleka golini kutia madhara kama Miqissone.
Sent from my MI MAX 2 using JamiiForums mobile app
Sikulaumu uwezo wako wa kufikiri ndio umeishia hapo. Huyu anayefunga atafungaje bila kupewa pasi. Au unataka mpira wa anao anao wa kupiga chenga timu nzima?Kiwango cha Bwalya nilivyomwona ni cha kawaida sana.
Labda abadilike huko mbeleni, uwezo wake upo katika kupiga pasi tu.
Vyenga vyake ni vya furahisha jukwaa tu na havina madhara.
Anatakiwa apige chenga huku anaeleka golini kutia madhara kama Miqissone.
Sent from my MI MAX 2 using JamiiForums mobile app
Tueleze wewe uwezo wako wa kufikiri, kwakuwa kila mtu anao mtazamo wake.Sikulaumu uwezo wako wa kufikiri ndio umeishia hapo. Huyu anayefunga atafungaje bila kupewa pasi. Au unataka mpira wa anao anao wa kupiga chenga timu nzima?
huyu mwenzetu anataka nini? atakuwa mtazamaji wa rede labdaKiwango cha Bwalya nilivyomwona ni cha kawaida sana.
Labda abadilike huko mbeleni, uwezo wake upo katika kupiga pasi tu.
Sent from my MI MAX 2 using JamiiForums mobile app
Mwamedi hawezi kutoa $150k..kwa mchezaji kama huyu ambaye hajawahi kucheza CAF Champions league...Ni kweli aisee sisi Yanga tumemkosa huyu Fundi Larry Bwalya sababu hatukua na $150,000.