Lord Delamere in Kenya
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,988
- 8,021
Huyo Mamelodi ana vikombe kuizidi Ahly? Akili za kipuuzi hizi.Aaahaaaaa
Tumemtuma Hersi kwa Madiba aende akaonane na uongozi wa Mamelodi Sundowns ili ajifunze jinsi kumfunga huyo mwarabu koko nje ndani
View attachment 2792122View attachment 2792123View attachment 2792124
Waliambulia kombe mlilorudi nalo.Walishatokea mashabiki wa Rivers, Marumo Gallants, Monastir, Club Africaine mpaka wa USM Alger. Waulize hao waliambulia nini?
Makombe kamzidi ila kipigo kiko pale paleH
Huyo Mamelodi ana vikombe kuizidi Ahly? Akili za kipuuzi hizi.
Kipigo kipi? Chungulia head-to-head uone nani anaongoza kumkanda mwenzake kama hutakuta Al Ahly ilishamfumua vya kutosha huyo Mama-road.Makombe kamzidi ila kipigo kiko pale pale
AahaaaaaaKipigo kipi? Chungulia head-to-head uone nani anaongoza kumkanda mwenzake kama hutakuta Al Ahly ilishamfumua vya kutosha huyo Mama-road.
Pimbi umeleta last 5 matches na kukwepa kuleta mkeka mzima wa tangu walipoanza kukutana. Kiufupi; Mamelodi wins 3, Al Ahly wins 4, Draw 4. Kenge wa pink wewe!
AahaaahaaPimbi umeleta last 5 matches na kukwepa kuleta mkeka mzima wa tangu walipoanza kukutana. Kiufupi; Mamelodi wins 3, Al Ahly wins 4, Draw 4. Kenge wa pink wewe!
Mwamba, kumchambua vizuri huyu Carasco Putin weka link ya huo uzi wake hapa, tumuone anavyohamahama kahaba wa timu za soka huyu..!!
Kigeugeu huyoMashabiki wa Al Merreikh tukutane hapa
Habib habib shabiki damu kindakandaki wa timu pendwa timu namba 4 kwa ubora Afrika mashariki na kati Al Merreikh namba moja ni Simba mbili ni mazembe tatu al hilal nne ni al merreikh. Lengo letu ni kufuzu makundi kwa ushindi mnono kila la kheri timu yangu pendwa toka utotoni AL MERREIKHwww.jamiiforums.com
Kukandwa hata wewe huwa unakandwa na Ihefu. Tunachoangalia ni titles; Al Ahly (Real Madrid ya Afrika) wana mataji lukuki kuliko hao wapuuzi wapuuzi Mama road.Aahaaahaa
Hizo zilipendwa
Mkuu hii hapa ni latest
Ebu cheki hapa chini achana na hizo za kabla ya Yesu hajazaliwaView attachment 2792203
Usijisahaulishe PRINCE MPUMELELO DUBE...!! Prince Mpumelelo Dube ndo ihefu yenu..!! Yaani Azam huwa anawakanda nje ndani, kwetu sisi Ihefu wanatufunga tukiwa kwao Mbarali, wakija Dar wanakandwa. Hivyo ihefu kwetu ni tofauti na AZAM (Dube) kwenu.Kukandwa hata wewe huwa unakandwa na Ihefu. Tunachoangalia ni titles; Al Ahly (Real Madrid ya Afrika) wana mataji lukuki kuliko hao wapuuzi wapuuzi Mama road.
We kahaba wa kuhamahama timu kula chuma hikiHabib habib shabiki damu kindakandaki wa timu pendwa timu namba 1 kwa ubora Afrika Al ahly baada ya kucheza Africa football league na timu bora ya simba michuano ambayo imekutanisha giants wa Africa na simba ndyo timu pekee Africa mashariki kushiriki
Kwa mujibu wa caf derby bora afrika ni al ahly vs simba
Na YANGA vs zalan fc
Lengo letu al ahly ni kufumua timu zote zilizo kwenye kundi letu hasa wale nzi wa kijani kwa ushindi mnono
kila la kheri timu yangu pendwa toka utotoni AL AHLY [emoji91][emoji91][emoji91][emoji1630][emoji1630][emoji1630][emoji1630]View attachment 2792061
Habib habib View attachment 2792062
Mchawi karaba hat trick kwa mkapa lazima View attachment 2792063
Usiyempenda kaja anakaba mpka kivuri anamuogopa kanoute tu afrika hii
Wa Robo havai.nusu1. Hamkujuana jana, wakati mmeshika roho mkononi kwa kipindi chote cha kwanza?
2. Hamkujuana jana na possession ya 73% kwa 27% mje mtafutane leo?
NATAHADHARISHA MAPEMAAA KWAMBA MSIJE SEMA TUMEPANGIWA VIBONDE...!!!!
Waambie kabisa na wenzio akina Mshana Jr, Kalpana, GENTAMYCINE et el. Maana hamchelewi kugeuza kauli.
NB:
MMEANZIA ROBO NA MMEISHIA HAPO HAPO KWENYE ROBO KAMA KAWAIDA YENU MWAKAROBO FC
Umenikumbusha mbali sana, enzi za kipindi cha michezo na Charles Hilaly, utamsikia, NA HUKO TANGA WA MBILI HAVAI MOJA. Unajuwa tu kuna mtu kapigwa tayariWa Robo havai.nusu
Mniache naandaa energy ya kushangilia kwny huo mtanange...hao sio vibonde ngoja nikutahadharishe kabisa..mkiwafunga basi mjue mmeamua kuutoa mwiko nyuma...1. Hamkujuana jana, wakati mmeshika roho mkononi kwa kipindi chote cha kwanza?
2. Hamkujuana jana na possession ya 73% kwa 27% mje mtafutane leo?
NATAHADHARISHA MAPEMAAA KWAMBA MSIJE SEMA TUMEPANGIWA VIBONDE...!!!!
Waambie kabisa na wenzio akina Mshana Jr, Kalpana, GENTAMYCINE et el. Maana hamchelewi kugeuza kauli.
NB:
MMEANZIA ROBO NA MMEISHIA HAPO HAPO KWENYE ROBO KAMA KAWAIDA YENU MWAKAROBO FC