Mashabiki wa Al Ahly tujuane mapema

Mashabiki wa Al Ahly tujuane mapema

Kipigo kipi? Chungulia head-to-head uone nani anaongoza kumkanda mwenzake kama hutakuta Al Ahly ilishamfumua vya kutosha huyo Mama-road.
Aahaaaaaa
Screenshot_20231025-094909_Chrome.jpg
 
Pimbi umeleta last 5 matches na kukwepa kuleta mkeka mzima wa tangu walipoanza kukutana. Kiufupi; Mamelodi wins 3, Al Ahly wins 4, Draw 4. Kenge wa pink wewe!
Aahaaahaa

Hizo zilipendwa

Mkuu hii hapa ni latest

Ebu cheki hapa chini achana na hizo za kabla ya Yesu hajazaliwa
Screenshot_20231024-195512_Chrome.jpg
 
Mwamba, kumchambua vizuri huyu Carasco Putin weka link ya huo uzi wake hapa, tumuone anavyohamahama kahaba wa timu za soka huyu..!!
 
Kukandwa hata wewe huwa unakandwa na Ihefu. Tunachoangalia ni titles; Al Ahly (Real Madrid ya Afrika) wana mataji lukuki kuliko hao wapuuzi wapuuzi Mama road.
Usijisahaulishe PRINCE MPUMELELO DUBE...!! Prince Mpumelelo Dube ndo ihefu yenu..!! Yaani Azam huwa anawakanda nje ndani, kwetu sisi Ihefu wanatufunga tukiwa kwao Mbarali, wakija Dar wanakandwa. Hivyo ihefu kwetu ni tofauti na AZAM (Dube) kwenu.
 
Habib habib shabiki damu kindakandaki wa timu pendwa timu namba 1 kwa ubora Afrika Al ahly baada ya kucheza Africa football league na timu bora ya simba michuano ambayo imekutanisha giants wa Africa na simba ndyo timu pekee Africa mashariki kushiriki
Kwa mujibu wa caf derby bora afrika ni al ahly vs simba
Na YANGA vs zalan fc

Lengo letu al ahly ni kufumua timu zote zilizo kwenye kundi letu hasa wale nzi wa kijani kwa ushindi mnono



kila la kheri timu yangu pendwa toka utotoni AL AHLY [emoji91][emoji91][emoji91][emoji1630][emoji1630][emoji1630][emoji1630]View attachment 2792061
Habib habib View attachment 2792062
Mchawi karaba hat trick kwa mkapa lazima View attachment 2792063
Usiyempenda kaja anakaba mpka kivuri anamuogopa kanoute tu afrika hii
We kahaba wa kuhamahama timu kula chuma hiki

 
Hawa jamaa unaweza kudhani kama vile unawatoa mwishoe wanakutoa wewe, lazima Kuna ingredients timu zetu zinakosa...Yan al ahly unawaona kabisa wanafungika ila huwatoi.
 
1. Hamkujuana jana, wakati mmeshika roho mkononi kwa kipindi chote cha kwanza?

2. Hamkujuana jana na possession ya 73% kwa 27% mje mtafutane leo?

NATAHADHARISHA MAPEMAAA KWAMBA MSIJE SEMA TUMEPANGIWA VIBONDE...!!!!

Waambie kabisa na wenzio akina Mshana Jr, Kalpana, GENTAMYCINE et el. Maana hamchelewi kugeuza kauli.

NB:
MMEANZIA ROBO NA MMEISHIA HAPO HAPO KWENYE ROBO KAMA KAWAIDA YENU MWAKAROBO FC
Wa Robo havai.nusu
 
1. Hamkujuana jana, wakati mmeshika roho mkononi kwa kipindi chote cha kwanza?

2. Hamkujuana jana na possession ya 73% kwa 27% mje mtafutane leo?

NATAHADHARISHA MAPEMAAA KWAMBA MSIJE SEMA TUMEPANGIWA VIBONDE...!!!!

Waambie kabisa na wenzio akina Mshana Jr, Kalpana, GENTAMYCINE et el. Maana hamchelewi kugeuza kauli.

NB:
MMEANZIA ROBO NA MMEISHIA HAPO HAPO KWENYE ROBO KAMA KAWAIDA YENU MWAKAROBO FC
Mniache naandaa energy ya kushangilia kwny huo mtanange...hao sio vibonde ngoja nikutahadharishe kabisa..mkiwafunga basi mjue mmeamua kuutoa mwiko nyuma...
 
Back
Top Bottom