habari wadau..
mashabiki wachache wa al ahly wakishangilia baada ya kupangiwa mnyongee simba kwenye kundi lao...
hapo ni mazoezini tu bado kwenye mechi
kwa taarifa tu misimu zaidi ya 20 iliyopita al ahly huwa anafika fainali.. akitoka mapema nusu fainali, robo fainali mara chache sana.. hatua ya makundi kwake ni hatua ndogo sana huwaga anapita kama upepo hata akipanga kikosi cha tatu..
ha ha ha ha watani wa jadi.. kama nawaona mkila wiki misri.. mambo ya brazili kula saba nayaona nayaona
nitawaletea ya algeria,, na wababe wa Congo as vita waliofika fainal mwaka huu caf confederation cup